Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Inasikitisha.Watu wa hivyo wanakera sana,Kuna member anaitwa mpauko back then alisema kama huyu jamaa,watu wakaanza kejeli na utani,Jamaa akajiua,watu Bado hatujifunzi tu kua positive??kwani Kila Post Hadi useme kitu?? Wengine wanaleta chitchat na kujuana kwenye masuala sensitive kama haya..
Ila ndo hivyo tuko wa kila rangi humu