Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sasa mavumbini c ndo kufa au ww Umeelewa nnWeee acha kutudanganya. Umewahi kufika Mbinguni au Jehanamu ukajua kama kumekaba?
Hakuna cha Mbinguni wala Jehanamu. BWANA MUNGU alisema hivi;
" Kwa maana u mavumbi wewe na MAVUMBINI utarudi"
Kama kungekuwa na Safari ya Mbinguni au Jehanamu BWANA MUNGU asingesema tutarudi "MAVUMBINI".
Mwanadamu aliumbwa kutoka "mavumbini" na mavumbini atarudi. Mimi binafsi naelewa sana andiko hilo. Liko wazi sana. Tena BWANA MUNGU siyo muongo na kamwe hasemagi uongo.
Tukisema tukifa tunaenda Mbinguni au Jehanamu ni kama tunasema BWANA MUNGU ni muongo.