I think its my time to rest, I am nothing in this world

I think its my time to rest, I am nothing in this world

Dah haya maisha kila mtu na changamoto zake, kweli nimeamini unaweza kujihisi una matatizo sana kumbe wapo wengine yao hata kuyasema tu ni mtihani, mfano mi juzi nimetoka safari nna ka 80000 kangu nikapita bar kujipunguzia ugumu wa maisha kesho yake naamka nna elfu 7 basi nimeshinda na mawazo kweli kweli na kujilaumu sana ila nikajipa moyo nijifunze kutokana na nilipokosea.
 
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu

Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.

Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.

Mungu awabariki sana
Pole sana kwa yote, ila nakuomba kama ukipata muda amka Saa 8 Kamili au Saa 9 Kamili Usiku tumia dakika 15 tu Kuzungumza na Mwenyezi Mungu kwa njia ya Kimaombi. Anza kwanza Kutubu makosa na wale uliowakosea kisha samehe wale ambao umewaweka Moyoni mwako halafu mwambie Mwenyezi Mungu akupe mwanzo mpya na akutendee Miujiza. Hakikisha pia kama ni Mkristo au Muislamu unaenda mno Ibadani kuungana na Wamuni wenzako Siku za Jumapili au Ijumaa. Nakuomba tu Milango yako ikifunguliwa na Maisha yako Kubadilika nakuomba sana narudia tena kwa msisitizo nakuomba sana tenga Hela kidogo ya Kusaidia Watu wenye Mahitaji hasa anza na Watoto Wadogo, Yatima, Wajane au Wazee ( Vikongwe ) na ukiweza hakikisha unapoona Wendawazimu ambao Watu wanakwepa hasa wakiwa mabarabarani mnunulie Chakula na Maji ya Kunywa.

Ninakuomba ukifanya haya kwa Imani na Moyo halafu usipofunguliwa na kuona mwanzo wako mpya niite Unichape.
 
Dah haya maisha kila mtu na changamoto zake, kweli nimeamini unaweza kujihisi una matatizo sana kumbe wapo wengine yao hata kuyasema tu ni mtihani, mfano may mi juzi nimetoka safari nna ka 80000 kangu nikapita bar kujipynguzia ugumu wa maisha kesho yake naamka nna elfu 7 basi nimeshinda na mawazo kweli kweli na kujilaumu sana ila nikajipa moyo nijifunze kutokana na nilipokosea.
Mawazo ya Nini Sasa ndio kazi ya pesa hiyo
 
Pole sana kwa yote, ila nakuomba kama ukipata muda amka Saa 8 Kamili au Saa 9 Kamili Usiku tumia dakika 15 tu Kuzungumza na Mwenyezi Mungu kwa njia ya Kimaombi. Anza kwanza Kutubu makosa na wale uliowakosea kisha samehe wale ambao umewaweka Moyoni mwako halafu mwambie Mwenyezi Mungu akupe mwanzo mpya na akutendee Miujiza. Hakikisha pia kama ni Mkristo au Muislamu unaenda mno Ibadani kuungana na Wamuni wenzako Siku za Jumapili au Ijumaa. Nakuomba tu Milango yako ikifunguliwa na Maisha yako Kubadilika nakuomba sana narudia tena kwa msisitizo nakuomba sana tenga Hela kidogo ya Kusaidia Watu wenye Mahitaji hasa anza na Watoto Wadogo, Yatima, Wajane au Wazee ( Vikongwe ) na ukiweza hakikisha unapoona Wendawazimu ambao Watu wanakwepa hasa wakiwa mabarabarani mnunulie Chakula na Maji ya Kunywa.

Nakuomba ukifanya haya kwa Imani na Moyo halafu usipofunguliwa na kuona mwanzo wako mpya niite Uninyonge.
🤣🤣🤣🤣, mtumishi unyongwe Tena...MUNGU usimwekee condition unaweza nyongwa kimasikhara
 
Usikate tamaa bro mi mwenyewe na matatizo ila naogopa kusema maana nilishawahi kujidai tajiri Jf
Asubuhi hii nimekutana na Mzee ni mgeni yupo kwa ndugu yake kujiuguza nipo natoka ibadani nakutana nae njiani tunasalimiana namwambia Mzee ndio upo kunyosha Miguu Jibu alilonipa limenibariki na kuitakasa asubuhi yangu ananiambia mjukuu wangu nimefika hali hii ya uzee na nipo sehemu ambayo sina hata pa kwenda sina hata MTU wa kwenda kuzungumza nae nilichobakiza ni kuzunguka zunguka tu na kunyoosha Miguu tukacheka km utani Ila ndani kwa ndani Ile hali Mzee inamuuma lakini hakunitamkia kwamba nmechoka kuishi na hii hali naona Bora nijue just imagine Mzee miaka inazidi hata 80+ pamoja na hali ya ugonjwa alionao pamoja na kwamba hana hata mtu wa kuzungumza nae muda mwingi hua yeye peke yake TU akichoka kukaa nje basi ataingia ndani Ila hajafikiria kujiua lakini eti kijana mdogo km huyu hata 30 haujafika unafikiria kujiua

Nakwambiaje kufa tu km unaona kufa ndio suluhisho basi kufa jiue
 
Hakuna aliepata hasara,point yangu kua why wachangiaji wana entertain au ku influence mtu kuwa katika hali mbaya zaidi,kwani ukiamua kua positive au kunyamaza unapungukiwa Nini??
Muache afe unamuonea huruma kaweka Namba tuma muamala hapo mjazie million akaamkie bar walevi wote shikamoo
 
Unapokufa maana yake unarudi kule ulipotwaliwa au ulipokuwa kabla ya kufanywa kiumbe hai.

Kabla ya BWANA MUNGU kukufanya wewe kuwa kiumbe hai ulikuwa mavumbini. Haukuwa Mbinguni wala Jehanamu.

U mavumbi wewe na MAVUMBINI utarudi.
Unaandika ujinga tuu
 
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu

Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.

Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.

Mungu awabariki sana
sasa Matatizo yenyewe hujayasema ukute ni kawaida sana.
Alafu unataka ujiue uende wapi na hao watoto nani akulele.
Acha hayo mambo
 
Back
Top Bottom