I thought he was wrong!

I thought he was wrong!

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,231
Habari wanajamvi wa lugha,nimekumbuka wakati niko o-level nasoma mwalimu wa Biology katika topic ya classidication(kwa walio soma Biology wanafahamu) alikuwa akiandika phyla,sometimes phylum.Mi mnikaona isiwe shida nikatumia logic,nikaangalia ubaoni kati ya phyla na phylum ni neno lipi limejitokeza mara nyingi.Then hilo ndiyo mimi nikawa nalitumia kwenye notice zangu za Bios until further notice.Do you think I was a fool?Continue reading.

Siku moja niko najisomea kitabu changu cha english grammar mambo ya singular and plural hasa for irregular verbs.Ndiyo nikagundua I was wrong not mwalimu wa Bios.

In english kuna maneno yanayotokana na kilatin au kigiriki
e.g

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Singular[/TD]
[TD="width: 120"] Plural[/TD]
[TD="width: 381"] How their plural are formed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] radius [/TD]
[TD="width: 120"] radii[/TD]
[TD="width: 381"] words ending with us replace us with i[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] phenomenon [/TD]
[TD="width: 120"] Phenomena[/TD]
[TD="width: 381"] words ending with on replace on with a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] criterion [/TD]
[TD="width: 120"] criteria[/TD]
[TD="width: 381"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] agendum [/TD]
[TD="width: 120"] agenda[/TD]
[TD="width: 381"] words ending with um replace um with a[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] phylum [/TD]
[TD="width: 120"] phyla[/TD]
[TD="width: 381"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] datum[/TD]
[TD="width: 120"] data[/TD]
[TD="width: 381"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] flagellum [/TD]
[TD="width: 120"] flagella[/TD]
[TD="width: 381"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 115"] memorandum [/TD]
[TD="width: 120"] memoranda[/TD]
[TD="width: 381"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

the list goes on....

Je wewe ni mmoja wa wale ambao husema "agendas" wakizani ni wingi wa neno aganda?
Je wewe ni mmoja wa wale ambao husema "criterias" wakizani ni wingi wa neno criteria?

Usione aibu let me know if you used to make those mistakes,if you confess people may help you.
Walimu:waelimisheni wanafunzi prior kuepuka misunderstanding wana jf:mwombe mdogo wako kama anasoma biology angalia notice uone watoto wanavyokosea kuanzia kwenye notice,sijui necta itakuaje.

Nawasilisha
 
Mmmh about phyla and phylum I do not remember what I was using and even differentiate them.Poor me with my st kayumba
Habari wanajamvi wa lugha,nimekumbuka wakati niko o-level nasoma mwalimu wa Biology katika topic ya classidication(kwa walio soma Biology wanafahamu) alikuwa akiandika phyla,sometimes phylum.Mi mnikaona isiwe shida nikatumia logic,nikaangalia ubaoni kati ya phyla na phylum ni neno lipi limejitokeza mara nyingi.Then hilo ndiyo mimi nikawa nalitumia kwenye notice zangu za Bios until further notice.Do you think I was a fool?Continue reading.

Siku moja niko najisomea kitabu changu cha english grammar mambo ya singular and plural hasa for irregular verbs.Ndiyo nikagundua I was wrong not mwalimu wa Bios.

In english kuna maneno yanayotokana na kilatin au kigiriki
e.g
Singular plural how prural is formed
radius radii ....................(words ending with us replace us with i)
phenomenon Phenomena ............(words ending with on replace on with a )
criterion criteria
agendum agenda...................(words ending with um replace um with a )
phylum phyla
flagellum flagella
memorandum memoranda

the list goes on....

Je wewe ni mmoja wa wale ambao husema "agendas" wakizani ni wingi wa neno aganda?
Je wewe ni mmoja wa wale ambao husema "criterias" wakizani ni wingi wa neno criteria?

Usione aibu let me know if you used to make those mistakes,if you confess people may help you.
Walimu:waelimisheni wanafunzi prior kuepuka misunderstanding wana jf:mwombe mdogo wako kama anasoma biology angalia notice uone watoto wanavyokosea kuanzia kwenye notice,sijui necta itakuaje.

Nawasilisha
 
Aqua correct term should be 'notes' za Bios and not 'notice' za Bios
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom