britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Walishakanywa wasijaribu kuuliza maswali magumu, kesi ya uhaini ingewahusu.Ajabu na wale waandishi hawajuliza kuhusiana na kondo cemetery
Waandishi wa habari wa Tanzania wako chini ya uangalizi mkubwa. Wakijikoroga tu chombo chao kinafungiwa kwa sheria za TCRAAjabu na wale waandishi hawajuliza kuhusiana na kondo cemetery
Kakanusha sio yeye mkuu ni fake account anavyodai, nilienda kule insta na hasira kinoma.Kuna mijinga kama hii! Sijui akili zao ziko wapi alafu linajiita sijui Mtangsxaji sijui wa kiredio gani.
Wamahabari Watanzania wengi wao mmelaaniwa kwa kutokuyaongelea Mauaji ya Kimbari yaliyofanywa na Utawala wa Samia.
View attachment 3506363
Mimi nilivyoona lile tamko lao la kusema watafanya analysis ya kutosha alafu watakuja na majibu sahihi me nikaona watakuwa serious ila kwa majibu haya wanawaangusha hata hao wachache wanaowasapoti.Ukiwa umefanya mabaya inakuwa ngumu sana kujitetea badala yake ndio unaona maboko Kama hayaKama balance story kwa nini MSIGWA hajaleta huo UKWELI??
Larry madowo na CNN si wameambiwa waje,wakija wataenda huko kwa kondo kufukua Ili kuona miiliI expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…”
Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu?
Mambo mengine ni kujikoroga kabisa
Britanicca
Ukiwa na akili huwezi uliza Hilo swali pale, sababu walioitoa wameambiwa waje Ili waende makaburini kwa kondo wakafukueAjabu na wale waandishi hawajuliza kuhusiana na kondo cemetery