Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Msigwa alitangaza kuja na ufafanuzi wa video baada ya serikali kukaa kimya mwezi mzima lakini hata alivyokuja leo hajafafanua chochote.
Ni wazi serikali ilitangaza kuja na ufafanuzi leo lakini haijafanya hivyo, serikali hii pia aliombwa ufafanuzi hapo awali na vyombo vya kimataifa ikazima simu.
Kwa kifupi serikali ilichokifanya ni sifuri