Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Waandishi wa mchongo na maswali ni kama aliyaandaa Msigwa mwenyewe.Ajabu na wale waandishi hawajuliza kuhusiana na kondo cemetery
Kumbuka huyu ni mzanzibarKuna mijinga kama hii! Sijui akili zao ziko wapi, halafu linajiita mtangazaji wa kiredio gani?
Wamahabari wengi wa Kitanzania wamekosa ujasiri wa kuongelea mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala wa Samia.
View attachment 3506363
Meena Ally ni kahaba aliyekubuhu.Kuna mijinga kama hii! Sijui akili zao ziko wapi, halafu linajiita mtangazaji wa kiredio gani?
Wamahabari wengi wa Kitanzania wamekosa ujasiri wa kuongelea mauaji ya kimbari yaliyofanywa na utawala wa Samia.
View attachment 3506363
kwa sababu ndio uwezo wa akili yake ya kuku.I expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…”
Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu?
Mambo mengine ni kujikoroga kabisa
Britanicca
Ulikua unafikiria kwamba Msigwa ana akili? Msigwa hana akili na hafai kua msemaji na pia ni msemaji feki.. muda wake unahesabika soon atawekwa pembeni..Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu?
Yani kwa Sasa JF tiss mpo kimya sana
Kimya sana mkuu vipi usalama upo lakiniI expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…”
Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu?
Mambo mengine ni kujikoroga kabisa
Britanicca
Keshaliwa kichwaHuyu bro mbona kimya sana
Ukiulizwa Hilo swali..uta ambiwa wewe ni CHADEMA.Ajabu na wale waandishi hawajuliza kuhusiana na kondo cemetery