I took my boda for a movie

Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
🀣🀣🀣🀣🀣
Boda boda nao ni binadamu mkuu.
 
Au unatoa kwa wakala then unamtuma akuletee nyumbaniπŸ˜‚πŸ˜‚
"Bodaboda wangu ni muaminifu sana"
🀣🀣🀣🀣🀣 Nikiwa mbali nampa funguo za nyumbani kwangu anipelekee vitu vyangu funguo ataniletea "hana shida bodaboda wangu"
 
Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Nmecheka hahahhaha
 
Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
Huyo dada hakukupenda🀣 pole
 
Hata sokoni namuandikia tu mahitaji na kumpa hela ananifuatia vitu "bodaboda wangu ni muelewa sana"
Nkipata wageni namuagiza tu bia analeta kwa hela yake baadae nakuja kumrefund "bodaboda wangu ananisaida sana kwakweli" πŸ˜‚
 
β€œ Hata kama Kaenda Mbagala Sipandi Boda Nyingine Namsubiri Apa Apa Manzese Mpaka aje anipeleke nyumbani”

Mtatuua Na Boda Wenu
 
β€œ Hata kama Kaenda Mbagala Sipandi Boda Nyingine Namsubiri Apa Apa Manzese Mpaka aje anipeleke nyumbani”
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bodaboda sio watu wazuri
 
Mbona nasikia bodaboda karibu wote pumbu hazifanyi Kaz zimeharibiwa na mtetemeko wa pikipiki na midundo ya mawe humo wanamopitisha wateja.Nguvu za kiume zimekuwa deluted
 
Huyo dada hakukupenda[emoji1787] pole
Alinipenda asilimia mia na kuzidi, tulianza maisha kwa kulala chini hata mpaka kufikia steji ya kusema afadhali ya leo kuliko jana si ndio akakutana na boda boda !
Bahati nzuri thread zake zipo humu kibao.
 
Kama ulikuwa umfikishi ulitegemea Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…