Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
Boda boda nao ni binadamu mkuu.