Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Bodaboda noma, wanawavua sana...“Nna bodaboda wangu”[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda noma, wanawavua sana...“Nna bodaboda wangu”[emoji23][emoji23]
Basi issue itakuwa ni kufikishana kilele Mkuu 😂😂 mambo ya show big bigAlinipenda asilimia mia na kuzidi, tulianza maisha kwa kulala chini hata mpaka kufikia steji ya kusema afadhali ya leo kuliko jana si ndio akakutana na boda boda !
Bahati nzuri thread zake zipo humu kibao.
Mlaumu huyo msichana wako na sio boda bodaMimi boda boda sina hamu nao!
Nilipokua naanza mahusiano nilikua na msichana wangu yaani ilikua soul mate wangu , tulipendana mfano hakuna ! Boda boda akapita nae mazima mpaka leo hii sijawahi hata kukutana naye.
Boda boda mjue dunia ni ndogo sana!
"Bodaboda wangu ni mwaminifu sana"😁Tupo wakukupepea na kukukakandakanda kifuani mixer kukupuliza mdomoni wakati ujielewi kwa BP