I wanna be your main chick - Maua Sama

I wanna be your main chick - Maua Sama

Ndo nazipitia pitia hapa mkuu. Nisijeokota galasa bure
kama kunawaliotuma maombi kwako inabidi uanze kuangalia CV zao ili umpate aliye sahihi, ufanye maamuzi mapema kabla hawajaghairi.
 
Vigezo vya nini moyo ndo utachagua unataka nini. Usisahau picha mbili bank statement na hati za nyumba mashamba au shares
nitakuja pm ngoja niweke mambo sawa, golden chance hii. ila haujaweka vigezo vya unayemtaka ili nijitathmini kabla sijaja pm.
 
Back
Top Bottom