Hapo nawapisha wenye nguvu, mi ngoja nifanye mpango wa nyumba alaf kama nafasi bado ipo nitarudi.Hahahahahaa
Thanks a lot, nitaitendea haki hii nafasi.Nitakuwekea nafasi yako
Mna maneno hahahahahUkiona ivo, ujue ushasogelea 30s, akili ishaanza kukukaa sawa.
Heee! Watu washaanza maandalizi anachelewa sasa mbona??? Mzigua naweeee. Mbona huchangamkii fursa sasa??Nataka safari tu mimi. Ya Ethiopia sijui Misri. Hata hapo Nairobi poa tu
KaribiamoSimu ilikua inasumbua kuja pm.. ngoja nije kuchek kama kunae nafasi bado