No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
... Kisima fanya hivyo.kwanza hakikisha kama kweli ni gono! Nakushauri afanye culture and sensitivity! hapo itakuwa rahisi kujua moja kama ndo yenyewe na pili kujua susceptibility ya hao wadudu kwenye dawa za aina tofaut tofaut, then you use the right treatment!
Hiyo anayoita gono sugu inaweza kuwa ya kawaida tu ila labda quality ya dawa alizotumia au hao wadudu ni resistant kwenye dawa alizotumia! Culture and sensitivity itakupa majibu ya uhakika zaidi!