I want to improve my English language

I want to improve my English language

Hi guys my name is Jackson enos ....my needs I want to improve on English language so I want u support
I want to improve my engilsh.
I need to improve my english.
embu anzia hapo kwanza nini ni sahihi want au need.
Ndio hapo english inapokuwa ngumu
 
Tafuta kitabu kinaitwa common mistake in english, speaking skill nk
Sikiliza move,audio za kingereza, podcast, interact na watu wanaojua kingereza.
Waza mipango kwa kingereza. Try to figure out everything in english then utakuwa mzungu muda mfupi.
Sikiliza, pigeon, America, British, African english nk.
Tumia 3/4 ya muda wako kuwasiliana kwa kingereza.
Soma vitabu vya majadiliano, majibizano nk.
Tafuta kamusi ya kisasa.
Jiunge mitandao ya kijamii ya kingereza na andika makala,changia nk.
 
I believe that improving any language, not just English, requires a comprehensive approach, covering all aspects. But if you want to focus on expanding your vocabulary to make your spoken language more lively, interesting, and appealing, Promova and its synonym identifier tool can be really helpful. It’s easy to find also synonym or any other word, see examples, and try to incorporate new words into your speech daily. It doesn’t take much time, but with daily effort, you’ll see noticeable progress.
 
Kama wewe ni mkristo/Kristu chukua Biblia ya Kiingereza anza kusoma kwa umakini kwanza halafu baada ya Muda soma kwa sauti kubwa..
Angalia filamu zinazotumia lugha ya Kiingereza,usipende kuangalia filamu zinazotafsiriwa kwa maneno ya Kiingereza pale chini..lakini pia Kuna vitabu vya hadithi mbalimbali ambavyo unaweza kuvipata kwa kupakua applications kwenye simu yako,fanya hivyo.
Anza kuitumia lugha,tafuta marafiki wapya kwa mitandao ya kijamii ambao wanaongea lugha ya Kiingereza,anza mawasiliano nao.
 
Just have a trip to USA and see Mr pdidy may be he can help you speak English fluently.
 
Back
Top Bottom