I want to marry My Mother

hapana, mkuu! hebu soma tena hiyo story. nadhani alikuwa na maana ya kwamba miaka mitatu nyuma....kuanzia wakati wa hiyo kesi inayoendelea. yaani wakati kijogoo wake ana miaka 18! iwe iwavyo, this is total #%4&8@33!!! There, i've said it!!


I meant to say 3 years earlier as stated on the article; Farai was 20 then.



.
 

INCEST!!! In-breeding, the cause of all recessive genes to come to surface. It weakens the genetic pool. This so called child of Mother and son might be born with some serious, genetic disorders, it is selfishness on their part. How about the stigma the child will suffer, even if they move to another city, town or even country...mtoto sio siri at some point it will no longer be a secret and wham the child will find out about It's parentage and "the Dam Breaks" What if her (the mother) father wanted to kula jasho yake as well?!! and this trend continues. What is the world coming to?
 
Incest is very common even in tz societies, the few cases which surface is just a tip of iceberg, though morally is very wrong, it can be ok just for fun, but for the purpose of procreation is socially and biological disaster for the offsprings.
 
Incest is very common even in tz societies, the few cases which surface is just a tip of iceberg, though morally is very wrong, it can be ok just for fun, but for the purpose of procreation is socially and biological disaster for the offsprings.

I hope this is utani Bro. I know that incest is more common than most communities can admit. What can be fun about baba na binti wake having sexual relations?!! Little gals and even grown up gals trust their fathers...Boys trust their mothers. These are are the fisrt people of the opposite sex that children know! It is my belief mzazi is there to protect a child from the world, which in itself is cruel...soma vituko vya weekend...dada fulani kawabaka 2 small boys! in Umoja NBI akawapa gonorhea! Inasikitisha sana.
Pepo mbaya!!
 
Mama atiwa mimba na mwanaye

Mjane mmoja wa kijiji cha Mwenezi nchini Zimbabwe, aliyejulikana kwa jina la Betty Mbereko (40), aliyetiwa mimba na mtoto wake wa kumzaa, Farai Mbereko (23) na kuutangazia umma kuwa anataka kufunga naye ndoa amefukuzwa katika kijiji hicho...

Betty amefukuzwa na uongozi wa kijiji kutokana na maelezo kuwa kitendo cha kupewa mimba na mtoto wake wa kumzaa ni cha kinyama na ni kinyume cha maadili ya kabila lao.

Tukio la kutiwa mimba kwa mama huyo limetokea mwanzoni mwa mwezi huu na kuripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini Zimbabwe, ambapo uamuzi wa wawili hao kutaka kuoana ulipingwa vikali na ndugu, jamaa, pamoja na serikali ya kijiji.

Mwenyekiti wa kijiji cha Mwenezi, Nathan Muputirwa aliipinga ndoa hiyo kwa kusema: “Hatuwezi kuruhusu hili kutokea kwenye kijiji chetu, ni dalili mbaya, ingekuwa zamani, watu hawa wangeuawa, lakini leo hatuwezi kuwaua kwasababu tunaogopa polisi”

Pamoja na upinzani huo, mtoto wa mjane huyo, aliendelea kudai kuwa, yuko tayari kulipa mabaki ya mahari ambayo marehemu baba yake alikuwa hajamalizia ili aweze kummiliki mama yake, huku akimsifia kuwa ana mvuto sana wa kimapenzi.

“Nampenda sana mama yangu, kwani yuko ‘very sexy’, na nitamalizia ile mahari iliyobaki kabla ya kifo cha mzee, ili nimuoe,” alisema Farai.

Hata hivyo, serikali ya kijiji iliwataka wawili hao kuchagua kati ya kusitisha ndoa hiyo au kuhama kijiji na wao wakachagua kuhama na kuelekea kusikojulikana.
 
Hii inapingana hata na maandiko matakatifu na ni laana. "NA ALAANIWE ALALAE NA MKE WA BABA YAKE, KWA KUWA AMEFUNUA MAVAZI YA BABAYE. NA WATU WOTE WASEME 'AMINA'" Kumbukumbu la Torati 27: 20
 
This is taking 'kuku kula mayai yake' to a whole new level.
 
Ochu, hii habari nimepata kuisikia siku nyingi kidogo zilizopita, kama miaka mitatu hivi huko huko Zimbabwe. Je, ni ile ile ya wakati ule au ndo habari mpya hii?
 


Ni dhambi ambayo kwa wakristo haisamehewi. Ni laana na imeandikwa. Ole wake mtu yule alalaye au aufunuaye uchu wa mke wa baba yake/mama yake. Mwisho wa dunia, kila unyama utafanyika duniani.
 
...hata wanyama hawafanyi hivyo, ...hao wanamatatizo yao ya akili!
 


long time ago...they would have been set on fire!!!


That is the real Halloween, yaani horror...Ama kweli "the truth is stranger than fiction"

Mother and son in a whole new level.
Not even in this Sodom of Los Angeles!!! hapo Sunset and Hollywood kwa Boys town.
We have to be very afraid "Very very afraid" For this kind of thinking and behaviour is very contagious.
 
dogo kani maliza....eti anataka kumalizia hata mahari amabyo dingi alishindwa kuyamaliza... laana hii!!
 
Dunia ina mambo ya ajabu .. Mungu atuepushe sisi na vizazi vyetu
 
...hata wanyama hawafanyi hivyo, ...hao wanamatatizo yao ya akili!



What kind of animals man?! 🙂
Labda dik-dik (digi-digi), who form monogamous relationships


Monogamy is the custom or condition of having only one mate in a relationship



.
 
Hii inapingana hata na maandiko matakatifu na ni laana. "NA ALAANIWE ALALAE NA MKE WA BABA YAKE, KWA KUWA AMEFUNUA MAVAZI YA BABAYE. NA WATU WOTE WASEME 'AMINA'" Kumbukumbu la Torati 27: 20

Ni dhambi ambayo kwa wakristo haisamehewi. Ni laana na imeandikwa. Ole wake mtu yule alalaye au aufunuaye uchu wa mke wa baba yake/mama yake. Mwisho wa dunia, kila unyama utafanyika duniani.

Just curious: mmetoa vifungu vya biblia na mimi ni msomaji wa biblia

Tunasema kifo kitatutenganisha!, so mama mtu si mke wa mtu yeyote, na biblia inasema yuko huru kuolewa! we have seen a lot of them.

So my take, ni kuwa huyu mama na mtoto tuwa judge based on our moral and unwritten behaviour standarda siyo biblia.

Au wadaumnasemaje, kama awe judged kiblilia kuna yeyote anaweza akafafanua zaidi

waberoya
 

Yuko huru kuolewa sawa..lakini si na mwanawe! Kuwa judge kibiblia pls read Leviticus...pia kisheria..due to prohibited relationships hawawezi kuoana.They are in incestuous relationship na nashangaa kwanini hawashtakiwi kijinai!
 
May God have mercy upon them.
Wana laana hawa
 
Na alaaniwe alalaye na mke wa baba yake, kwa kuwa amefunua mavazi ya babaye. Na watu wote waseme, Amina.
Na alaamiwe alalaye na mamaye. Na watu wote waseme, Amina.
Na alaaniwe alalaye na mkwewe, mamaye mkewe. Na watu wote waseme, Amina.
Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yoyote. Na watu wote waseme, Amina.
Na alaaniwe alalaye na mwanamume / mwanamke mwenzake. Na watu wote waseme, Amina.

ALICHOKIFANYA HUYU DOGO NI LAANA KUU.

Kweli Mungu atusamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…