Sasa mahakamani alikuwa amefuata nini? Ama alienda kujitangaza kwmb mwanae ndiyo bwana wake.
Nani kamshtaki??
Inanikumbusha enzi zile za Charles Hilary na Julius Nyaisanga, habari nyepesi nyepesi na haina uzito wowote, teteteh!!!
Ndugu wa mume wake wameshtaki!
dada si ungeisoma yote please! Amesema 'Mwananchi'source please?
source please?
source please?