I want to marry My Mother

I want to marry My Mother

Sasa mahakamani alikuwa amefuata nini? Ama alienda kujitangaza kwmb mwanae ndiyo bwana wake.
Nani kamshtaki??
 
there is always two sides to the coin,hii story,shocking as it is,ina uzuri wake upande wa pili,humu jf kinamama wanatunanga kuwa kinababa tuna tabia za kutembea na mabinti zetu,oneni sasa kumbe na kina mama ndo zao!
Ahsante mleta thread.
 
Inanikumbusha enzi zile za Charles Hilary na Julius Nyaisanga, habari nyepesi nyepesi na haina uzito wowote, teteteh!!!
 
Ndugu wa mume wake wameshtaki!

Kwani wao hakumwona yule mama ana haki ya kuwa na mme kipindi chote hicho cha ndg yao kufariki dunia?

Ama walikuwa wanamtega wamwone atazaa na nani.
Sasa hebu fuatilia ujuwe watafikishana wapi then utujuze maana sasa ni dhahiri dunia inaelelea sivyo.
 
Hiyo ni kali ya mwaka 2012 si mchezo.
 
Duuuu kuna mambo mengine na dhambi zitendekazo hapa dunian hata shetan nae atazikana siku ya mwisho.

Yawezekana hawa wote ni machizi.
 
source please?

kusoma hujui hata kufananisha rangi nakn hujui.

Sijajua umekurupuka au ndiyo utamu,unyeti na hamu ya kucoment, wew unataka source ipi aliyoiandika hapo mwisho hujaiona.
 
Back
Top Bottom