I want to marry My Mother

I want to marry My Mother

Hili la mtoto kumpanda mama au baba kumpanda mtoto au dada kupandwa na kaka, ni tabia ya HAYAWANI (Wanyama wasio na utambuzi). Ukiona mwanadamu aingia kwenye kundi hili basi anakuwa hana tofauti na HAYAWANI.

Kibaiolojia binadamu ni wanyama ila tofauti yetu na HAYAWANI inakuwa katika uwezo wa ubongo wetu katika utambuzi. Hawa wawili watakuwa na matatizo ya akili.
 
Mbona mbuzi na nyani wanazaa na mama zao tu bana!....hihihiiiii

Mkuu, so wewe unajilinganisha na mbuzi au nyani?; hujui kuwa sisi binadamu tumepewa akili na utashi ili tutofautiane na wanyama?
Hii inashangaza sana, kumbe nawe ukipata fursa nawe waweza fanya vile!
 
mama miaka 12.. mwanae miaka 23.. wapi na wapi
 
Jamani jamani tunaelekea wapi!Sasa ni nani aliyeanza kumuaproach mwenzie?Mmh,aibu ya mwaka isiyoelezeka! ''Yesu afanye haraka kurudi tu''
 
Labda alimzaa akiwa na miaka 11

Mbona maelezo yanaeleweka tu!kasema mama mjane wa miaka 12 ina maana huyo mama kawa mjane kwa miaka hy 12 jamani hebu tuwe tunafikiria!
 
labda mila zao zinaruhusu, kama huli nyoka usidhani kama wenzio hawali
 
Nini kimeimaliza dunia yetu hii nzuri?
kwani dunia ilianzaje?
sasa hivi tz tuna population ya 40 mil...1950s tulikuwa less than 10 mil ...miaka 1000 nyuma nadhani kulikuwa hakuna altenative nyingine zaidi ya watu kutembea na mama na dada zao ili kuijaza dunia.
 
Back
Top Bottom