I want to marry My Mother

I want to marry My Mother

Duh kina Mama vipi tena kila mara mnalalamika kina Baba wanatembea na mabinti zao au ndiyo mnalipa kisasi ?.
 
Mkuu, so wewe unajilinganisha na mbuzi au nyani?; hujui kuwa sisi binadamu tumepewa akili na utashi ili tutofautiane na wanyama?
Hii inashangaza sana, kumbe nawe ukipata fursa nawe waweza fanya vile!

ndo mana wadhungu wanatuita manyani lo
 
This strange world!! Incest is a sin before the eyes of God.
Mwanamke mmoja mjane kwa miaka 42 aitwaye Betty Mbereko,amepewa mimba na mwanae wa kwanza wa kumzaa mwenye miaka 23!
Baada ya kujazwa mimba na mwanaye huyo,alisema ana hamu ya kuolewa na mtoto wake aliyemjaza mimba hiyo!
Akiongea mbele ya mahakama ya kijiji alisema kwamba alikuwa anampenda mtoto wake huyo muda mrefu,na akaihakikishia mahakama kwamba ndiye aliyemjaza mimba hiyo!
Bety alisema ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili na hakuna mwingine mwenye nafasi ya kuingilia!
Kwa upande wa mwanaye huyo alisema mbele ya mahakama kwamba amejiandaa kumuoa mama yake huyo na amejiandaa kulipa kulipa mahari iliyobakia ambayo baba yake hakuimalizia!"Nitamaliza mahari kwa wazazi wa mama ili nimuoe mama"!
SOURCE:MWANANCHI 6.1.2012
 
Jamani jamani tunaelekea wapi!Sasa ni nani aliyeanza kumuaproach mwenzie?Mmh,aibu ya mwaka isiyoelezeka! ''Yesu afanye haraka kurudi tu''

Asubiri kwanza, inatakiwa tufaidi kwanza duniani mara 100 halafu ndio uzima wa milele.
 
Kikweli ni story ya siku nyingi ilikuwa kwenye mtandao.Hapo ni sawa na kuku kula yai lake.
 
Mwanamke mmoja mjane kwa miaka 42 aitwaye Betty Mbereko,amepewa mimba na mwanae wa kwanza wa kumzaa mwenye miaka 23!
Baada ya kujazwa mimba na mwanaye huyo,alisema ana hamu ya kuolewa na mtoto wake aliyemjaza mimba hiyo!
Akiongea mbele ya mahakama ya kijiji alisema kwamba alikuwa anampenda mtoto wake huyo muda mrefu,na akaihakikishia mahakama kwamba ndiye aliyemjaza mimba hiyo!
Bety alisema ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili na hakuna mwingine mwenye nafasi ya kuingilia!
Kwa upande wa mwanaye huyo alisema mbele ya mahakama kwamba amejiandaa kumuoa mama yake huyo na amejiandaa kulipa kulipa mahari iliyobakia ambayo baba yake hakuimalizia!"Nitamaliza mahari kwa wazazi wa mama ili nimuoe mama"!
SOURCE:MWANANCHI 6.1.2012

kuna watalaamu wa mifugo walitoa madai ya myama nguruwe kuwa kama iakatokea kaka akampanda dada basi vipiglet vitakavyozaliwa vitakuwa havioni, je hii ya mtoto kujamiana na mwanaye mtot atazaliwawa kawaida au?
 
Zimbabwean Woman Impregnated By Son,Wants Marriage

A Masvingo woman and her son have fallen in love with one another. And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son's child.

Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with her first child, Farai Mbereko (23).

She confirms that she is six months pregnant and that she has decided it is better to "marry" her son because she does not want to marry her late husband's young brothers, whom she says are coveting her.

Betty stunned a village court last week when she said the affair with her son had begun three years earlier.

She said after spending a lot of money sending Farai to school following the death of her husband, she felt she had a right to his money and no other woman was entitled to it.

"Look, I strove alone to send my son to school and no one helped me. Now you see that my son is working and you accuse me of doing something wrong. "Let me enjoy the products of my sweat," she told the village court. :lol:

Farai said he was more than prepared to marry his mother and would pay off the ilobola balance his father had left unpaid to his grandparents.

"I know my father died before he finished paying the bride price and I am prepared to pay it off," he said.

"It is better to publicise what is happening because people should know that I am the one who made my mother pregnant. Otherwise they will accuse her of promiscuity."

But local headman Nathan Muputirwa says: "We cannot allow this to happen in our village, mashura chaiwo aya, (This is a bad omen indeed). In the past they would have to be killed but today we cannot do it because we are afraid of the police." He warned them to break off their marriage or leave his village.

They chose the latter and have left the village for an unknown destination.

Betty Mbereko, Zimbabwean Woman Impregnated By Son! - AfricanSeer News Portal
 
Dunia tunapitaaaa eeee
Kilaa kituu kitabaaakiaa
Binadamuu ni muchaaangaa

Kitaaaa bakiii mileleee ni miliiiimaaa....

For some reasons nimemukumbuka
Simba Mapangala ghafla ...
 
The woman is abusing her son! Na sio kama anampenda, ni kwa sababu amemsomesha! Shame on her! The boy is just 23 yrs old! Angekuwa member humu mkamfundisha how to cheat ur mother-wife, nyambafff!
 
Huyu mother sijui alianzaje! nadhani huu ndo ubakaki haswa. Dogo nadhani hapo ndo alipoanzia, dah balaa tupu.
 
Mbona hii imeshakuwa history, si ya mwaka jana hii? au nyingine mpya.
 
Mwanamke mmoja mjane kwa miaka 42 aitwaye Betty Mbereko,amepewa mimba na mwanae wa kwanza wa kumzaa mwenye miaka 23!
Baada ya kujazwa mimba na mwanaye huyo,alisema ana hamu ya kuolewa na mtoto wake aliyemjaza mimba hiyo!
Akiongea mbele ya mahakama ya kijiji alisema kwamba alikuwa anampenda mtoto wake huyo muda mrefu,na akaihakikishia mahakama kwamba ndiye aliyemjaza mimba hiyo!
Bety alisema ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili na hakuna mwingine mwenye nafasi ya kuingilia!
Kwa upande wa mwanaye huyo alisema mbele ya mahakama kwamba amejiandaa kumuoa mama yake huyo na amejiandaa kulipa kulipa mahari iliyobakia ambayo baba yake hakuimalizia!
"Nitamaliza mahari kwa wazazi wa mama ili nimuoe mama"!
SOURCE:MWANANCHI 6.1.2012

Hawa ni vichaa wawili!
Polisi kamata mara moja!
 
Back
Top Bottom