I want to marry My Mother

I want to marry My Mother

mwanamke mmoja mjane kwa miaka 42 aitwaye betty mbereko,amepewa mimba na mwanae wa kwanza wa kumzaa mwenye miaka 23!
Baada ya kujazwa mimba na mwanaye huyo,alisema ana hamu ya kuolewa na mtoto wake aliyemjaza mimba hiyo!
Akiongea mbele ya mahakama ya kijiji alisema kwamba alikuwa anampenda mtoto wake huyo muda mrefu,na akaihakikishia mahakama kwamba ndiye aliyemjaza mimba hiyo!
Bety alisema ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili na hakuna mwingine mwenye nafasi ya kuingilia!
Kwa upande wa mwanaye huyo alisema mbele ya mahakama kwamba amejiandaa kumuoa mama yake huyo na amejiandaa kulipa kulipa mahari iliyobakia ambayo baba yake hakuimalizia!"nitamaliza mahari kwa wazazi wa mama ili nimuoe mama"!
Source:mwananchi 6.1.2012

sheri aya ndo inawatia hatiani
 
Inanikumbusha enzi zile za Charles Hilary na Julius Nyaisanga, habari nyepesi nyepesi na haina uzito wowote, teteteh!!!

Hii ni kweli ila ni ya kitambo kidogo japo kesi haijaisha.Huyu mama ni mjane kwa miaka 11 na alikuwa anaishi na mwanae huyo.
:A S-coffee:
 
...haya sasa! Sasa si baba tena kumpa bintie zawadi ya mtoto ila MAMA...
Kha na wale wanaotaka utajiri wanawaingilia mama zao ili kule Kariakoo maduka yajae huwasemi.
Kaka + dada + Ngono = utajiri
Baba + Mtoto + Ngono = utajiri
 
Dunia imesha poteza umaarufu wake jamani tufanye mpango wa kuomba visa za mbinguuu tu now dayz ni hatari...................bora ya mimi ninaekamua mtoto wa mjomba........lol
 
Aisee ..........nimeshindwa hata nisemeje! Sitaki hata kuvuta picha ya tukio baya kama hili!
 
Mie nazani kalikua kamuchezo ka siri lakini kalikuja kakafichuka .
baada ya utamu kukolea , lakiniiiiiiiiiii
 
Tukumbuke wamama watoto wetu watapooa sidhani kama wakwe tutawapenda
kwa tabia hii baadhi yetu wanaoifanya yakugawa mavituzzzzzzzzzzzz, kama njuguu
hata kwa watoto
 
A Zimbabwean woman and her son have done the unthinkable – they have fallen in love with one another. And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son’s child. Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with her first child, Farai Mbereko (23). She confirms that she is six months pregnant and that she has decided it is better to “marry” her son because she does not want to marry her late husband’s young brothers, whom she says are coveting her. Betty stunned a village court last week when she said the affair with her son had begun three years earlier. She said after spending a lot of money sending Farai to school following the death of her husband, she felt she had a right to his money and no other woman was entitled to it.

“Look, I strove alone to send my son to school and no one helped me. Now you see that my son is working and you accuse me of doing something wrong. “Let me enjoy the products of my sweat,” she told the village court. Farai said he was more than prepared to marry his mother and would pay off the bride price balance his father had left unpaid to his grandparents. “I know my father died before he finished paying the bride price and I am prepared to pay it off,” he said. “It is better to publicise what is happening because people should know that I am the one who made my mother pregnant. Otherwise they will accuse her of promiscuity.” But local headman Nathan Muputirwa says: “We cannot allow this to happen in our village, mashura chaiwo aya, (This is a bad omen indeed). In the past they would have to be killed but today we cannot do it because we are afraid of the police.” He warned them to break off their marriage or leave his village. They chose the latter and have left the village for an unknown destination.
 
[h=1]“I Want To Marry My Mother” – Zimbabwean Man[/h]
A Zimbabwean woman and her son have done the unthinkable – they have fallen in love with one another.

And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son’s child.
Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with her first child, Farai Mbereko (23).
She confirms that she is six months pregnant and that she has decided it is better to “marry” her son because she does not want to marry her late husband’s young brothers, whom she says are coveting her.
Betty stunned a village court last week when she said the affair with her son had begun three years earlier.
She said after spending a lot of money sending Farai to school following the death of her husband, she felt she had a right to his money and no other woman was entitled to it.
“Look, I strove alone to send my son to school and no one helped me. Now you see that my son is working and you accuse me of doing something wrong. “Let me enjoy the products of my sweat,” she told the village court.
Farai said he was more than prepared to marry his mother and would pay off the ilobola balance his father had left unpaid to his grandparents.
“I know my father died before he finished paying the bride price and I am prepared to pay it off,” he said.
“It is better to publicise what is happening because people should know that I am the one who made my mother pregnant. Otherwise they will accuse her of promiscuity.”
But local headman Nathan Muputirwa says: “We cannot allow this to happen in our village, mashura chaiwo aya, (This is a bad omen indeed). In the past they would have to be killed but today we cannot do it because we are afraid of the police.” He warned them to break off their marriage or leave his village.
They chose the latter and have left the village for an unknown destination
 
Back
Top Bottom