I want to marry Sasha Obama seriously

I want to marry Sasha Obama seriously

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
My dear Tanzanians, wanawake wa Kitanzania hawako serious na kuolewa, wengi wana macho mengi.

Nimeonelea nikipata mtoto wa Kiongozi mstaafu wa Dunia Sasha Obama, nitatulia na moyo wangu kuwa satisfied, hali yangu kiuchumi sio kigezo bali kigezo ni mke.

Nisaidieni mimi Deogratius Kisandu.

heres-why-sasha-obama-skipped-the-farewell-address.jpg
 
Mkuu Kisandu weka wazi msaada gani unauhitaji kutoka kwetu?
namna ya kuandika barua ya posa au unataka mshenga?
 
hahah! mjamaa sijui alikuwa anata go ahead ya JF kumuoa mtoto wa obama
 
Back
Top Bottom