I want to marry Sasha Obama seriously

Sasha keshafikisha 18 yrs tayari? Angalia mkuu usije ukapachikwa u-pedophile na kulazimishwa kuji-register kama sexual predator [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejuaje kuwa huyo sasha yuko serious na kuolewa?[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Viroba katika ubora wake
 
Peleka posa kwa mababu zake na ndugu wa baba'ke, jirani tu hapo Kenya.
 
je unajua dalili za mtu anae anza ku chizi?
Moja wapo ni hii yako
 
tehe tehe tehe Kisandu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu naminakuombea ilaukimpata usisahau kunipigia pande kwayule mkubwa ake[emoji12]
 
Kukushauri tu ni uanzie kwenye mikutano ya maombi broo everything is posible if u believe
 
Dah...Mwana...she's just 15yrs old..........Utamshibisha kweli???😎😎😎
Mimi Deogratius Kisandu, nimezaliwa mwaka 1980 na sio mwaka 1983 kama inavyosemwa..
 
utafungwa kwa ubakaji wewe bado mdogo huyo mtoto wa watu, bafo mwanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…