Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Hahaha! spanish lady mambo gani ya kuwekeana usiku hayo siku mbili zinatosha nikija Dom ijumaa mpaka jumamosi umenisoma na kunikabidhi kilakitu sawa ?
ha ha ha! Utakuja kama mtakatifu. Mi mwenzio nataka niiruke hiyo frog phase.