condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
Wanaume ni viumbe vya ajabu. Usiviamini
Pole sana ndugu. Wanaume ni viumbe vya ajabu. Usiviamini hata kidogo.
my GOD we makamo gani dada hus
nimeongelea wanaume na sio wanawake. Unaweza toa mtazamo wako kuhusu wanawake.Kwa hiyo wanawake ni watu waaminifu sana?
nimeongelea wanaume na sio wanawake. Unaweza toa mtazamo wako kuhusu wanawake.
Ndio nimetoa mtazamo kuhusu wanawake, nao baadhi yao si waaminifu! Hapa nilitaka nikupe ujumbe kwamba SIO wanaume WOTE wabaya na pia SIO wanawake WOTE wazuri!
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
Pole sana ndugu. Wanaume ni viumbe vya ajabu. Usiviamini hata kidogo.
mpe pole sana kwani alikuwa halijui hilo,maisha sasa yamebadilika uaminifu hakuna ,mungu atamsaidia
ooh! Hapa sasa ndio umefikisha ujumbe vizuri na nakubaliana na wewe.