I Will Never Trust Any Man

I Will Never Trust Any Man

condorezaraisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
225
Reaction score
116
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,
 
Pole sana ndugu. Wanaume ni viumbe vya ajabu. Usiviamini hata kidogo.
 
mpe pole sana kwani alikuwa halijui hilo,maisha sasa yamebadilika uaminifu hakuna ,mungu atamsaidia
 
nimeongelea wanaume na sio wanawake. Unaweza toa mtazamo wako kuhusu wanawake.

Ndio nimetoa mtazamo kuhusu wanawake, nao baadhi yao si waaminifu! Hapa nilitaka nikupe ujumbe kwamba SIO wanaume WOTE wabaya na pia SIO wanawake WOTE wazuri!
 
husninyo sweet uwe makini mama naona kila mtu analalamika na wanaume,nisijeona post na ww unalia wamekutenda
 
Pole sana dada, unaweza kujilaumu sana lakini huyo jamaa anakili sababu ya kufanya alivyo fanya. Alikupenda wewe kwakuwa tu ameachana na anayempenda. Hakuwa na mapenzi kwako.

Pole, endelea kutafuta. Wa kwako yupo na atakuja.
 
Ndio nimetoa mtazamo kuhusu wanawake, nao baadhi yao si waaminifu! Hapa nilitaka nikupe ujumbe kwamba SIO wanaume WOTE wabaya na pia SIO wanawake WOTE wazuri!

ooh! Hapa sasa ndio umefikisha ujumbe vizuri na nakubaliana na wewe.
 
ni mwaka umepita tangu aje kwangu na kunambia ananipenda sana,na kuniahidi mapenzi yake yote baada ya kuachana na aliyekuwa wake wa ubani ,lakini juzi nampigia simu ananiambia amerudiana na mpendwa wake ooh me nimepata shock naapa sitapenda tena,haya ni maneno ya mdogo wangu camilla,

Hii riwaya nzuri sana! Hii Inamaana hata baba yako hutomwamini? Bila Shaka Naye ni mwanaume.

Avoid crazy generalization
 
Mungu amemuumba binadam kwa tabia ya usahaulifu
ATASAHAU NA ATAPENDA NA ANAWEZA AKATENDWA TENA PANAPO MAJALIWA
 
Back
Top Bottom