VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
bwana aliye juu apewe sifa.
karibu cna sister na pole
Mimi badala ya kusema pole nasema Hongera kwa kurudi salama, :clap2::clap2: Mungu ashukuriwe na inabidi hii iwe sherehe na sio majonzi...., by the way wale playboys inabidi watake it slow..., easy for the heart wasije waka-overwork heart yako Karibu Tena
Pole thana na karibu thana..tumshukuru Mungu thana kwa yote aliyokutendea! wabilah....
hivyo vitoto vyako vyafanyaje hapo??
Nimeupenda sana mtego wao wa MOYO japo si kwa lengo la kukuumiza
Duuh . . . . jpili tamu kweeeeeli kweli, bila shaka hashycool atakuwa cooker leo
bibie meno SELASINI NA NJE YOTE MBILI
Pole sana Nilham mungu akuzidishie afya njema
Dada Nilham,
Kila lenye heri liwe la kwako,
Mawaa na balaa Mola akuepushe,
Karibu tena na tunashukuru Mwenyezi Mungu alisikia maombi yako na yetu.
Nimeupenda sana mtego wao wa MOYO japo si kwa lengo la kukuumiza
Duuh . . . . jpili tamu kweeeeeli kweli, bila shaka hashycool atakuwa cooker leo
bibie meno SELASINI NA NJE YOTE MBILI
watu peopleeeeeeeeee
Karibu sana na pole sana Mungu yuko pamoja nawe