DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mbona hii ingependeza sana kama ungeiweka kwenye lugha yetu nzuri mkuu 'owomkyalo'.
Ulivyoiwasilisha hivi unainyima uzito wake sahihi.
Kama ni njia ya kujifunzia hiyo lugha nyingine, bado sana, itabidi uweke juhuzi zaidi, na sio katika njia hii uliyotumia hapa.
Sijatukana, wala sijakudharau. Ni ukweli tu.
You have narrated the whole truth. Mi nadhani Mh magufuli ajitafakari kama anadifa za kugombea tena asipoteze muda
Wewe wa kijijini Naona karibu zitafyatuka kama za Deo kisanduku. Afadhali uhamie mjini
Akiteuliwa Lissu ntaunga mkono....
Yaani tujiunge na vyama vingine ili MEMBE awe mgombea akishindwa badae akianza kufilisiwa aunge juhudi nakutukuza JIWE akiponda upinzani kwamba hakuna lolote! chadema imenyooshwa na Lowasa sioni tukirudia hilo kosa ACT wanapambana kukuza chama chao wakiamini watapata wabunge wengi kitu hawataki kuelewa wabunge waliokuja na mafuriko chadema wote wameunga juhudi so binafsi nashauri kama Lisu atapitishwa na Chadema vyama vingine vimuunge mkono lkn sio MEMBE huyo amekuja upinzani kwa hasira yakung'olewa chamani mwake kuliko kumuunga mkono huyo jamaa Chadema tubaki wenyeweKwa mambo yanavyoendelea Tanzania wengi watamuunga mkono Lissu.
Tatizo ni jee chama chake kitampaa ridha ya kugombea, Mwenye Chama atampisha Lissu kweli.
Upinzani wataungana, Jee Chadema iko tayari kujitosa kwenye myungano wa vyama, tena safari hii wakiambiwa mgombe atatoka chama kingine na lazima ajiunge nao kama ilivyokuwa kwa mgombea wa CUF.
Ndio maana wakisikia Lisu anarudi povu la waimba pambio halikauki Ila Mungu ni Mkuu Lisu atakuja na kitaeleweka!You have narrated the whole truth. Mi nadhani Mh magufuli ajitafakari kama anadifa za kugombea tena asipoteze muda
Hajamdharau!! Inakera hasa kama wewe ni fluent kwenye lugha harafu mtu anaharibu wazi wazi!!Punguza dharau zako bwana!