I wish all Tanzanians all over the World a Merry X-mas and a Happy New Year of 2011

I wish all Tanzanians all over the World a Merry X-mas and a Happy New Year of 2011

Status
Not open for further replies.
Mkuu BAK amani kwako braza! Karibu Arusha Xmass ule na kunywa matamu ya nchi
 
Mkuu BAK amani kwako braza! Karibu Arusha Xmass ule na kunywa matamu ya nchi

Ahsante Mkuu. Nilipita Arusha hivi karibuni, bahati mbaya nilikuwa sijui maskani ya Mkuu Mokoyo au ningezuka kuja kula, kunywa na kusheherekea Xmas mapema kabla ya wengine.

BAK!!Very good to read from you, what happened? au ulikuwa miezi mingi ya asali?..hiyo ya ARS sahau kabisa, MANURE chama kubwa..jamani, I miss ushabiki wako kule nk..
Happy Xmas and may Almighty take care of you to 2011..Welcome back to JF!!!
 
Thanks a lot BJ. Hakuna lolote BJ, majukumu ya kimaisha tu. November nilipita jijini kwako nikawepo hapo kwa siku tatu kushangaa shangaa tu. BJ, chama kubwa kesho inapelekwa mchakamchaka na kufundishwa namna ya kucheza soka la kileo na kuchapwa 2-1 nyumbani kwenu.

Nimeona kuna jamaa "mtanashati" LOL! unamzengeazengea hapo jijini lakini usijigaragaze kupita kiasi vinginevyo hatakuthamini, lakini mambo yakijipa basi usinisahu kwenye michango ya harusi.

Jumapili njema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom