Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
i wish ianzishwe data base ambayomajina ya wanawake kwa wanaume walioshindikana kuishi na waume or wake zao yawekwe ili kama ukipata mwenza ambae mnataka kufunga pingu za maisha basi unakuja kuscreen jina lake ktk hii database ili kujua kama yumo kwenye list au la.ka ni wazo tu na naona itasaidia sana kuwaepusha watu na watukmajini.
Inakuwa kama alert kwamba care has to be taken na huyo ulienae coz jina lake limeonekana kwenye database ya defaulters.na utaweza kufanya maamuzi sahihi ya kusuka au kunyoa.Ni wazo zuri but ukishaangalia na kukuta jina lake kwenye database ndo inakuwaje? unamkataa au unafanyaje sasa?
Naongelea kwa wale ambao it has become their habits kuoa/olewa na kuacha.Watu hushindwa kuishi na wake au waume zao tokana na sababu mbalimbali...Na wengine huo/ olewa kwa dhumuni fulani Na si upendo .. Na vipi je kama wewe ndie aliepangiwa au we uliepangiwa..?Binafsi kama mtu ameachana na mkeo Mumeo sioni haja ya kumkandamiza na hilo Ili asipate mpenzi mwingine...Ili mradi awe loyal, trustworthy kwako...