I wish Kenyatta could be my President.

I wish Kenyatta could be my President.

Acheni kutukana mbona wengi tu wanahama mimi hapa US nimepokea wafanyabiashara 5 mmoja alikuwa na mabasi kasimamisha anasema pesa inaishia kwenye traffic mwingine anataka kufungua biashara TZ wanaomba kodi kabla hapa hajafungua duka!. Mwingine Mbunge wa CCM ametoka kaskazini anasema anafuatwa fuatwa sana bila sababu yeyeote na wamemtafuta lakini wamekuta kalipa tax zote lakini kwasababu ni mkakazini amekuwa anachunguzwa kila siku. Lakini kibaya zaidi ni wafanyabiashara wengi hawana imani na wameanza kuweka pesa zao nje nasikia hata kama hawana ushahidi account yako inaweza kuwa kuzuiwa wakisingizia uchunguzi na hii inaua biashara tena bila kufuata mahakama!. Mazingira ni magumu sana matusi haya saidii hapa. Kusaidia nyumbani sio lazima uwe pale mwisho wazazi na ndugu wanatakiwa wale na wakae maisha mazuri hivyo sishangai Medical Dr kukimbilia Namibia kwasababu ya maslahi na wanatuma pesa nyumbani, kujenga, kusomesha n.k badala ya kukaa tu na kulalamika na serikali ambayo haina ubunifu
 
JPM is now ruling the rest of East Africa, in my observations Kenyans are more aggressive by what JPM does than Tanzanians, I tried to locate the joint between that lawyer and JPM but failed, may be he is the owner of the burned chicks but let him know the struggle will never be successful anytime soon JPM has some fresh 8 years to rock this country so he should be patient.


watakula mawe mzee. Jiwe linasaidia nini kupunguza umasikini . Rushwa iko zaidi kaulize wabeba mchanga hapo bagamoyo au safiri na gari uone polisi watakavyo omba rushwa. Hakuna vision na ego sana .... nchi ni watu sio mtu
 
Back
Top Bottom