Acheni kutukana mbona wengi tu wanahama mimi hapa US nimepokea wafanyabiashara 5 mmoja alikuwa na mabasi kasimamisha anasema pesa inaishia kwenye traffic mwingine anataka kufungua biashara TZ wanaomba kodi kabla hapa hajafungua duka!. Mwingine Mbunge wa CCM ametoka kaskazini anasema anafuatwa fuatwa sana bila sababu yeyeote na wamemtafuta lakini wamekuta kalipa tax zote lakini kwasababu ni mkakazini amekuwa anachunguzwa kila siku. Lakini kibaya zaidi ni wafanyabiashara wengi hawana imani na wameanza kuweka pesa zao nje nasikia hata kama hawana ushahidi account yako inaweza kuwa kuzuiwa wakisingizia uchunguzi na hii inaua biashara tena bila kufuata mahakama!. Mazingira ni magumu sana matusi haya saidii hapa. Kusaidia nyumbani sio lazima uwe pale mwisho wazazi na ndugu wanatakiwa wale na wakae maisha mazuri hivyo sishangai Medical Dr kukimbilia Namibia kwasababu ya maslahi na wanatuma pesa nyumbani, kujenga, kusomesha n.k badala ya kukaa tu na kulalamika na serikali ambayo haina ubunifu