i wish ningekuwa na uwezo. . .

popobawa huwa hana shda ya kupga cm ye shda yake ni pochi manyoya tu

Khaaa! Sasa huyo mpiga simu alikuwa hana shida na kipochi manyoya? Alikuwa na shisa na mtandao wa tigo siyo?
 
Hahahaha shost umenchekesha, mke wa 5 au 35, maana jamaa kwake kipaji.. Mwaya nipo. Namsubiri charminglady atupe report akishaenda hewani!

yeuwii i i i,ile namba haipatikani tena.
 

Embu nipe namba yake nimpigie halafu ntakwambia ni nani
 
Hahahaha shost umenchekesha, mke wa 5 au 35, maana jamaa kwake kipaji.. Mwaya nipo. Namsubiri charminglady atupe report akishaenda hewani!
akupate aringe?? haiwezekani wallah! atajisifu sana kukupata! lol haya my dear nipo, nimetoka kulima hoi taabani, khaaaaaa!
 
mwambie ndotoni tu umemuona vile umemuanzishia uzi jei efu, ukimuona live je??

teh teh, nimechekaje mie! haya ngoja akipatikana ntamwambia. vp huko shamba hujaja hata na ma-bibo?
 
ngoja nilale may b leo tena atanipigia anambie kuwa yeye ni nani? dah,sauti yake tu ndo ilikosha. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…