Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #21
Wapendwa mnaweza kupaka sana ila mwisho wa siku hali halisi naijua mm. Hakuna majigambo. Niwaulize: kwa nini ndoa nyingi zimevunjika au zina migogoro? Unajuaje kama uliye nae anakupenda? Watu huingia kwenye mahusiano kwa sababu zao na zikishachuja ndo matatizo huanza. Mtu asinilaumu kwa kuwa wazi hivi maana kila mtu angekuwa wazi mngeshangaa. Enyi mnaolaumu fikirieni tena