“I wish that was my boy” Jason Derulo amtumia ujumbe Ex wake, Jordin Sparks

“I wish that was my boy” Jason Derulo amtumia ujumbe Ex wake, Jordin Sparks

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Jason Derulo na Jordin Sparks waliachana zaidi ya miaka 2 iliyopita.

Tangu wakati huo Jordin ameshaolewa na anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza.
Ni wazi kabisa kwamba Jason bado anajutia kuachana na Jordin. Hii si mara ya kwanza kwa Derulo kusema majuto yake juu ya kumpoteza Jordin.

Ni dhahiri kwamba Jordan kwa sasa ana furaha katika mahusiano yake lakini Jason anaonekana kuiga tabia ya kuacha maoni kwenye picha za Ex wake kama ilivyo kwa Chris Brown na si kama Jason hakuwa na mahusiano yoyote tangu kuachana kwao, Derulo amekuwa kwenye mahusiano na watoto wazuri lakini bado tu anamkumbuka Jordan Sparks na hili linathibitisha kwamba Derulo alikufa akaoza kwa Jordan.

Hili hapa tangazo la Jordin Sparks

Screenshot from 2018-02-14 12-53-57.png


Na hili hapa ndiyo jibu la Jason

Capture-5.png



Bongo 5
 
harafu jamaa ndio alimtema demu kisa alipata mafanikio makubwa ule mwaka ambao waliachana na demu
 
harafu jamaa ndio alimtema demu kisa alipata mafanikio makubwa ule mwaka ambao waliachana na demu
Kisa sio mafanikio Demu alitaka jamaa amuoe...Jamaa akawa anazingua kama mond na zari yani anataka iwee kiselaa!!
 
Huyo Jason apambane na hali yake..Hongera kwa Jordan kwa kua na msimamo
 
"Ukinitusi nasahau, ukinidharau nakudharau, ukiniona sifai thamani itapanda dau.
By Afande Sele.

Umuhimu wa mtu unayemuona hafai huonekana mnapoachana tu.
 
Back
Top Bottom