Mmmhhh 0718 865 117 749 Uliona wapi hii namba ya simu bongo yenye digit 13? You must be joking au uko arumeru ndo unaamka na wewe ni mfuasi wa chama flan?
Mie ni jibaba, nikuPM???
la wewe utakuwa mke wa safari tu, nikiwa na safari zangu kikazi naenda na wewe.
Gharama zote za maisha yako juu yangu ila isizidi USD 1500 kwa mawezi.
Unafanya kazi?
nimekukamata!..
kwani nimefanyaje shem?
unamuuliza kama ana kazi...kama anayo itakuwaje??hana kazi huyo ndo mana anataka salt mumy!.
Wabongo mnahitaji msaada gani wa kifikra? Kama unaelewa nilichotaka haina haja ya kuniuliza masuala ya kazi,na nikikwambia ninayo,utaniuliza kazi gani,nikijibu utauliza nalipwa sh ngapi.
Kwanza nashangaa.. Ckutegemea watu ku coment bali kuni Pm au Kuni Call.
Sema tu,tunatofautiana uelewa!