I wish to....

I wish to....

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Kwa wahusika wote,
nataka na ninapenda mashuga mamy,yaani I don't feel to be with Girls coz ni Wazinguaji sana,halafu waongo katika Mapenzi na wezi wa mifukoni. Hivyo Sasa,nikiwa serious kama kuna mwanamke anayeweza kuwa nami kimapenzi na kimaisha in general ani PM au call me kwa 07186511749, naishi Mbezi Mwisho.
 
Mmmhhh 0718 865 117 749 Uliona wapi hii namba ya simu bongo yenye digit 13? You must be joking au uko arumeru ndo unaamka na wewe ni mfuasi wa chama flan?
 
Mmmhhh 0718 865 117 749 Uliona wapi hii namba ya simu bongo yenye digit 13? You must be joking au uko arumeru ndo unaamka na wewe ni mfuasi wa chama flan?

kaandika namba yenye digit 11 co 13,hata hivyo it seems he isn't serious!!
 
Oooh...! My gadnec!
Nilipo press kitufe cha alfabet bahati mbaya ikaingia namba, plz ni 0718651174.
NIPO SERIOUS WALLAH
 
Mie ni jibaba, nikuPM???
la wewe utakuwa mke wa safari tu, nikiwa na safari zangu kikazi naenda na wewe.
Gharama zote za maisha yako juu yangu ila isizidi USD 1500 kwa mawezi.
 
Umepotea kijana, hilo shugamami utakuwa nalo mpaka lini?

muda wote ambao yeye atataka!
Sijapotea,kwani mpaka na update thread I knew that kupotea kupo.
 
Mie ni jibaba, nikuPM???
la wewe utakuwa mke wa safari tu, nikiwa na safari zangu kikazi naenda na wewe.
Gharama zote za maisha yako juu yangu ila isizidi USD 1500 kwa mawezi.

watu wengine cjui vipi,mi nasema jimama,wewe unakuja kusema jibaba!
 
..kiufupi unatafuta KITEGA UCHUMI sio?
 
unamuuliza kama ana kazi...kama anayo itakuwaje??hana kazi huyo ndo mana anataka salt mumy!.

swali langu lilikuwa linaelekea kwenye utegemezi ingawa nilianzia mbali. Vijana wengi wa siku hizi hasa wale ambao kipato kidogo hukimbilia kutafuta mijimama.
 
Unafanya kazi?

Wabongo mnahitaji msaada gani wa kifikra? Kama unaelewa nilichotaka haina haja ya kuniuliza masuala ya kazi,na nikikwambia ninayo,utaniuliza kazi gani,nikijibu utauliza nalipwa sh ngapi.
 
Wabongo mnahitaji msaada gani wa kifikra? Kama unaelewa nilichotaka haina haja ya kuniuliza masuala ya kazi,na nikikwambia ninayo,utaniuliza kazi gani,nikijibu utauliza nalipwa sh ngapi.

wabongo bwana, wanafikiri watu wote ni zoa zoa. Watu wanataka waangalie vigezo. Lol
 
Kwanza nashangaa.. Ckutegemea watu ku coment bali kuni Pm au Kuni Call.
Sema tu,tunatofautiana uelewa!
 
Kwanza nashangaa.. Ckutegemea watu ku coment bali kuni Pm au Kuni Call.
Sema tu,tunatofautiana uelewa!

kwa hiyo ni lazima sio kama unataka ulazima nenda uturn utawapata wengi huko..
 
Back
Top Bottom