i wish you were her

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
jamaa alisafiri kwenda marekani kufika tu akamtumia msg mkewe is very wonderful i wish you were here, kumbe katika kutuma akafuta ile herufi ya mwisho bahati mbaya! msg ikaenda hivi :is very wonderful i wish u were her
 
Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena.
 
Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena.

hahahaha..mkuu umenifurahisha...ila demu wangu wa kihehe simwachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…