Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchafu.....uchafu....uchafu....hili neno uchafu inaonyesha linatumiwa kuonyesha matendo ambayo mtoa post anakuwa hakubaliani nayo....welll....wellll.....unaloliona kwako ni uchavu could be kwa mwenzio ni poa tu including kuwa na multipartners....depends on society.Nimejiuliza wanaume wengi wepesi sana kuomba msamaha kuliko wanaume
nikajiuliza kwa hivi adam angewaahi kuomba msamaha leo hii tungeteseka hivi na hawa mafisadi
nahisi uchafuu huu na mwingineko usingekuwepo basi wanawake muwe mnasikiliza misamaha yetu jamani
uchafu.....uchafu....uchafu....hili neno uchafu inaonyesha linatumiwa kuonyesha matendo ambayo mtoa post anakuwa hakubaliani nayo....welll....wellll.....unaloliona kwako ni uchavu could be kwa mwenzio ni poa tu including kuwa na multipartners....depends on society.