PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
habari wana jamvi, kuna uzi umewekwa jana na mkuu Mhere Mwita kiukweli uzi wake umenikumbusha mengi sana ukizingatia na mimi nimepitia hapo IAA. so lengo la uzi huu kama wewe umepitia IAA tafadhali karbu uchangie chochote unachokumbuka ukiwa hapo IAA enzi zako, Binafsi siku ambayo sitoisahau ni pale tulipovamiwa na majambazi wakati tukiwa HOSTEL, majombaa yalikomba kuanzia simu, laptops na fedha , tunamshukuru mungu hakuna mtu ambaye aliumizwa je wewe unakumbuka nn.............krb!!!