IAAF World Athletes Of The Year Awards 2018: Wakenya Ni Watatu Kati Ya Kumi Bora Waliochaguliwa Kote Duniani

IAAF World Athletes Of The Year Awards 2018: Wakenya Ni Watatu Kati Ya Kumi Bora Waliochaguliwa Kote Duniani

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
3593864e-3fe6-4213-8fb9-e50e6464d3ec.png
https://www.iaaf.org/news/press-release/male-world-athlete-of-the-year-nominees-2018 IAAF wametoa orodha ya wanariadha kumi bora duniani, 'nominated' kuwania tuzo la mwanariadha bora duniani, 'IAAF 2018 World Athlete of the Year Award'. Kati ya hao kumi watatu ni wakenya,
a96dde8e-0ebd-4987-b65b-3882fd298e0a.jpg
Timothy Cheruiyot,
522354_full.jpg
Eliud Kipchoge,
wuzxliqgjycgzgdiwqyc
na Emmanuel Korir. Kwa kina dada pia, tunaye
Beatrice-Chepkoech.jpeg
Beatrice Chepkoech. https://www.iaaf.org/news/press-release/female-world-athlete-of-the-year-nominees-201
 
na nikama kipchoge atachukua...tayari anaongoza kwenye voting having garnered 23,000 votes worldwide...wa pili ana 18,000 votes na wa tatu ana 11,000 votes
 
We need to vote Kipchoge.Niliona Wazungu nikama wako na Uwivu na sisi.
Wao wenyewe pia wanataka wanariadha wao washinde tuzo hilo, ila pia mwaka huu wakimnyima Kipchoge itakuwa too bad. Kura zinazopigwa zinasimamia uamuzi kwa 50%, hapo pengine wanajiamulia IAAF Council.
na nikama kipchoge atachukua...tayari anaongoza kwenye voting having garnered 23,000 votes worldwide...wa pili ana 18,000 votes na wa tatu ana 11,000 votes
Very nice, wakenya tunafaa tu'concentrate' na Eliud Kipchoge, wakenya wa Jf kura zilianza kupigwa wiki hii, fanyeni kweli, kwenye twitter, fb n.k.
 
Wao wenyewe pia wanataka wanariadha wao washinde tuzo hilo, ila pia huu mwaka wakimnyima Kipchoge itakuwa too bad. Kura zinazopigwa zinasimamia uamuzi kwa 50%, hapo pengine wanajiamulia IAAF Council.
Very nice, wakenya tunafaa tu'concentrate' na Eliud Kipchoge, wakenya wa Jf kura zilianza kupigwa wiki hii, fanyeni kweli, kwenye twitter, fb n.k.
Nina allergy na fb, ninge vote for kipchoge! Wish him all the best
 
Nina allergy na fb, ninge vote for kipchoge! Wish him all the best
Twitter pia, sio Fb tu, kwa ma'under 18', link za kupiga kura zipo kwenye mitandao ya kijamii karibia yote.
 
Wao wenyewe pia wanataka wanariadha wao washinde tuzo hilo, ila pia huu mwaka wakimnyima Kipchoge itakuwa too bad. Kura zinazopigwa zinasimamia uamuzi kwa 50%, hapo pengine wanajiamulia IAAF Council.
Very nice, wakenya tunafaa tu'concentrate' na Eliud Kipchoge, wakenya wa Jf kura zilianza kupigwa wiki hii, fanyeni kweli, kwenye twitter, fb n.k.
ooooh niiice...sikujua taratibu zinazofatwa huwa hivi....ila bado naona akishinda tuzo hii kipchoge
 
21 October 2018
Toronto, Canada
Scotiabank Toronto Waterfront Marathon- Full Marathon- Overall Awards Male Results

--------- ----------- ------ ------ ----------------------------- ------------------ -- --- ------ ------ ------ ------ ------
Official Pace/ Gender Master ON CAN WMA
Place Time Km Num Name City Pr Cnt Place Place Place Place Place
--------- ----------- ------ ------ ----------------------------- ------------------ -- --- ------ ------ ------ ------ ------
1 2:07:24 3:02 4 Kipruto, Benson KEN 1
2 2:07:46 3:02 10 Sulle, Augustino TZA 2
3 2:08:30 3:03 3 Kandie, Felix KEN 3
4 2:09:25 3:05 11 Levins, Cameron Portland OR CAN 4 1
5 2:09:52 3:05 5 Robertson, Jake NZL 5
6 2:10:06 3:05 3649 Mesfun, Daniel Flagstaff AZ ERI 6
7 2:11:06 3:07 2 Kiprotich, Stephen UGA 7
8 2:13:07 3:10 7 Maritim, Anthony KEN 8
9 2:13:37 3:10 1 Rono, Philemon KEN 9
10 2:17:37 3:16 9 Coolsaet, Reid Hamilton ON CAN 10 Source : Scotiabank
 
I forgot my twitter password.
Wabongo na wivu wao hawawezi vote for a Kenyan

Umeona hapo juu tunangojea mkimbiaji marathon bora toka Tanzania kwa jina Augustino Sulle, huyo ni mahiri sana na si muda mrefu atatawala kurasa za mbele za magazine zote zinazofuata wakimbiaji tajwa wa IAAF .
 
Itakuwa jambo nzuri hiyo siku ikifika ila hapa tunaongea kuhusu wanariadha bora duniani, kumi kwa wanaume na kumi kwa wanawake, waliochaguliwa na IAAF kujinyakulia tuzo za mwanariadha bora duniani 2018. Bofya kwenye hizo link za IAAF ujione mwenyewe kwamba hao wanariadha nne wa Kenya hakuna hata mmoja ambaye hajashinda mbio/marathon kadhaa kote duniani na pia kwamba wote hapo tayari ni IAAF Diamond League Champions kwenye mbio tofauti ambazo huwa wanashiriki.
 
Wakenya, voting closes on 16th November. One like on FB or one retweet on Twitter= One vote. Keep your eyes open.
 
Fb tushapiga. But Africans are not giving us enough support. Americans Wako na uwivu mingi sana pia.
Kawaida yao, kwenye riadha na raga huwa hawapendi kuona waafrika wakiwatoa kijasho. Kura zikimaliza kupigwa ndio utaona rangi zao kamili.
 
Back
Top Bottom