IAAF World Athletics Championship Doha 2019: Team Kenya unveiled

IAAF World Athletics Championship Doha 2019: Team Kenya unveiled

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Kikosi cha wanariadha 47 watakaowakilisha Kenya kwenye IAAF World Championship kule Doha, Qatar kimetajwa. Hii ni baada ya ushindani mkali kati ya wanariadha ili wafuzu kujiunga na Team Kenya na kuiwakilisha nchi yao kwenye vitengo mbalimbali vya riadha kule Doha. Mashindano hayo ya kufuzu, ambayo yalikuwa kwenye uwanja wa michezo wa Nyayo, huwa yanaitwa 'Mini World Championships', na wadau wa riadha duniani. Kwasababu ya ushindani mkali, 'world class times' na rekodi ambazo huwa zinavunjwa wanariadha wa Kenya wakipambana kufuzu. 2015 Kenya iliongoza dunia kwenye Championships ambazo zilikuwa kule Hong Kong. Kenya ilishika nafasi ya pili duniani kwenye championship zilizopita. Mchuano huo wa riadha mwaka huu utaanza tarehe 27 Septemba hadi 6 Oktoba kule Doha, Qatar. All the best to Team Kenya! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
Kama kawaida, Kenya hoyee!!
Kitaeleweka tu, kama kawa. 😎
Nixon-Chepseba.png
 
Berlin marathon will also air live on Sunday 11pm on the same station, citizen tv
 
Joto ya Doha italemea majamaa sana,especially Marathon
Marathon zote zitafanywa usiku sio mchana. I will be looking forward to the 3,000m steeplechase events, always the greatest. Escpecially the women's category.
Beatrice-Chepkoech.png
This lady Beatrice Chepkoech is set to shine considering that she set a new world record, 8:44:32, last year in Monaco.
 
Hawa watu huwa wana mapafu gani? Hivi Qatar usiku hakuna joto?
 
LIVE and EXCLUSIVE on CITIZEN TV. Starting tomorrow(Friday) afternoon
Kwani KBC walinyang'anywa rights za kuhost such sports events na hio ndio ilikuwa their saving grace. Bila kuhost sporting events kama World athletics championship KBC itakufa. WAC nyingi zimezionea KBC including ile ya 2015 yenye Kenya ilikuwa number 1 ikachapa USA.
 
Kwani KBC walinyang'anywa rights za kuhost such sports events na hio ndio ilikuwa their saving grace. Bila kuhost sporting events kama World athletics championship KBC itakufa. WAC nyingi zimezionea KBC including ile ya 2015 yenye Kenya ilikuwa number 1 ikachapa USA.
KBC haina dough..Multi choice kenya(dstv) yenye wana own 40% haifanyi poa, Gava yenye uibailout in such cases naskia kuna austerity, signet ni hivi hivi but who cares who airs.Muhimu hapa ni TV remote na macho.
 
Joto ya Doha italemea majamaa sana,especially Marathon
True, but humidity is more an issue than temperature. Its more difficult to run in snowing conditions than in a desert plus you can mitigate against temperature.Ndio maana wanakimbia midnight.I'm also seeing more watering/spraying points and areas along the course but I agree it will be difficult to everybody.Experience will count..
 
First Gold for courtesy of Ruth Chepngetich in the women’s marathon !!! View attachment 1217774
Safi sana, hii ilikuwa midnight express with Kenya's Chepng'etich. Siku ya kwanza ya mashindano, medali ya kwanza kwa Kenya, tena ya dhahabu. Alafu Chep alimaliza mbio kwa muda wa 2:32:43, muda bora kabisa mwaka huu kwenye marathon kwa kina dada. Wanariadha 26 kati ya 68 walioshiriki kwenye marathon hii walijiondoa kabla ya kilomita ya 25 kwasababu ya joto kali mjini Doha, Qatar. Kati ya waliojiondoa ni pamoja na wahabeshi watatu na muingereza Purdue. Wakenya wote walimaliza hadi kilomita ya mwisho.
 
Back
Top Bottom