pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kikosi cha wanariadha 47 watakaowakilisha Kenya kwenye IAAF World Championship kule Doha, Qatar kimetajwa. Hii ni baada ya ushindani mkali kati ya wanariadha ili wafuzu kujiunga na Team Kenya na kuiwakilisha nchi yao kwenye vitengo mbalimbali vya riadha kule Doha. Mashindano hayo ya kufuzu, ambayo yalikuwa kwenye uwanja wa michezo wa Nyayo, huwa yanaitwa 'Mini World Championships', na wadau wa riadha duniani. Kwasababu ya ushindani mkali, 'world class times' na rekodi ambazo huwa zinavunjwa wanariadha wa Kenya wakipambana kufuzu. 2015 Kenya iliongoza dunia kwenye Championships ambazo zilikuwa kule Hong Kong. Kenya ilishika nafasi ya pili duniani kwenye championship zilizopita. Mchuano huo wa riadha mwaka huu utaanza tarehe 27 Septemba hadi 6 Oktoba kule Doha, Qatar. All the best to Team Kenya! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
www.nation.co.ke
List: Team Kenya for Doha World Championships
Obiri, Kipruto, Chepng'etich, Manang'oi and Kirui will be out to defend their titles.