pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #41
Wewe nawe unashabikia medali za Kenya 'hili' iweje?Hili iweje
Kenya mja fanya vizuri sana kama nilivyo tegemea
Hata sisi pia tunajulikana kwenye ngumi na mziki, ila tumejiunga na dunia nzima kushiriki kwenye mashindano ya riadha. Kwasababu tupo kwenye sayari hii. Alafu riadha inajumuisha mengine mengi, sio mbio tu.Sio lazima wote tuwe kwenye mbio, TZ inajulikana kwenye ngumi na music
Yaani Beatrice aliongoza kutoka mwanzo hadi mwisho! Hakuna aliyeweza kupunguza gap ya 40 metres av. kati yake na wanariadha wengine.This sister did not come to play....the battle was clearly for second place!!!! Ona vumbi!!
Medali ya dhahabu mlishinda lini?Sio lazima wote tuwe kwenye mbio, TZ inajulikana kwenye ngumi na music
Ni nini mbaya kweli na Tanzania?????Nilishangaa hata Qatar hatujapeleka kiumbe hata 1 wakati kila nchi ilipewa spot 1 ya mwanamichezo yoyote
Tanzania sijui tunafeli wapi.
Berlin BMW Marathon kati ya watu 46000 Tz hata 1 hatujapeleka
Tunavuna mihogo. UsitupangieNi nini mbaya kweli na Tanzania?????
Ulitegemea mini haswa?we are currently at no 3 and we will be at no 2 end of day with a sure gold in 1500m men and women, clean sweep 5000m women and a probable gold in men's marathon.Kenya mja fanya vizuri sana kama nilivyo tegemea
sema malaria!!..3 and counting..View attachment 1223892
Another one from Kipruto in the 3000m steeplechase.... He won by 0.01 of a second. 254 to the world!!!View attachment 1223892
you have 3 in the starting line up of the men's marathon, don't know if they will all be present to start plus there was a DNF from tz in the women's marathon.Bet on Simbu, he's a formidable marathon contender.Nilishangaa hata Qatar hatujapeleka kiumbe hata 1 wakati kila nchi ilipewa spot 1 ya mwanamichezo yoyote
Tanzania sijui tunafeli wapi.
Berlin BMW Marathon kati ya watu 46000 Tz hata 1 hatujapeleka
Watanzania vip hamna aliyeleta medali???Ruth Chepng'etich(katikati) amepokea medali yake leo, ya dhahabu, ambayo alijishindia kwenye mbio za Marathon kwa wanawake. Wimbo mtamu wa taifa la Kenya ulitanda huku bendera ya Kenya ikipandishwa kwa heshima. Hongera kwa Team254! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]