IAAF World Athletics Championship Doha 2019: Team Kenya unveiled

IAAF World Athletics Championship Doha 2019: Team Kenya unveiled

Sio lazima wote tuwe kwenye mbio, TZ inajulikana kwenye ngumi na music
Hata sisi pia tunajulikana kwenye ngumi na mziki, ila tumejiunga na dunia nzima kushiriki kwenye mashindano ya riadha. Kwasababu tupo kwenye sayari hii. Alafu riadha inajumuisha mengine mengi, sio mbio tu.
 
This sister did not come to play....the battle was clearly for second place!!!! Ona vumbi!!

Yaani Beatrice aliongoza kutoka mwanzo hadi mwisho! Hakuna aliyeweza kupunguza gap ya 40 metres av. kati yake na wanariadha wengine.
 
Nilishangaa hata Qatar hatujapeleka kiumbe hata 1 wakati kila nchi ilipewa spot 1 ya mwanamichezo yoyote
Tanzania sijui tunafeli wapi.
Berlin BMW Marathon kati ya watu 46000 Tz hata 1 hatujapeleka
Ni nini mbaya kweli na Tanzania?????
 
Ferguson Rotich bags a bronze medal in the 800m race, on the sixth day of IAAF Doha 2019.
notcngl1nmbqxsp5d94ceaeace4f.jpg
 
Kenya mja fanya vizuri sana kama nilivyo tegemea
Ulitegemea mini haswa?we are currently at no 3 and we will be at no 2 end of day with a sure gold in 1500m men and women, clean sweep 5000m women and a probable gold in men's marathon.
 
Nilishangaa hata Qatar hatujapeleka kiumbe hata 1 wakati kila nchi ilipewa spot 1 ya mwanamichezo yoyote
Tanzania sijui tunafeli wapi.
Berlin BMW Marathon kati ya watu 46000 Tz hata 1 hatujapeleka
you have 3 in the starting line up of the men's marathon, don't know if they will all be present to start plus there was a DNF from tz in the women's marathon.Bet on Simbu, he's a formidable marathon contender.
 
Marathon tumepata bronze. Naomba Mungu atusaidie tumalize nambari mbili. Yaani China na Jamaica wasitupite. Sunday ina finals kibao na Jamaica wakishinda same number of gold as Kenya then watatupita coz wako na more silver than us. Fingers crossed.This was a good championship, second only to the 2015 one where we finished top of the table.
 
chepngetich2809a.jpg
Ruth Chepng'etich(katikati) amepokea medali yake leo, ya dhahabu, ambayo alijishindia kwenye mbio za Marathon kwa wanawake. Wimbo mtamu wa taifa la Kenya ulitanda huku bendera ya Kenya ikipandishwa kwa heshima. Hongera kwa Team254! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
Watanzania vip hamna aliyeleta medali???

Au paka Magufuli afure
 
Back
Top Bottom