IAAF World Athletics Championship Doha 2019: Team Kenya unveiled

IAAF World Athletics Championship Doha 2019: Team Kenya unveiled

True, but humidity is more an issue than temperature. Its more difficult to run in snowing conditions than in a desert plus you can mitigate against temperature.Ndio maana wanakimbia midnight.I'm also seeing more watering/spraying points and areas along the course but I agree it will be difficult to everybody.Experience will count..
This will be the trademark image in Doha, it was 32 degrees C yesterday. At midnight!
71344990.jpg
 
Medali nyingine, ya shaba.
showImage
Wakenya Agnes Tirop, Rosemary Wanjiru na Helen Obiri kwenye mbio za 10,000 metres kwa wanawake. Agnes Tirop amejinyakulia nafasi ya tatu, Wanjiru ya nne, Obiri ambaye ndiye aliyekuwa tegemeo la Kenya akawa wa tano. Sifan Hassan raia wa Netherlands ambaye ana asili ya Ethiopia ameshinda mbio hizo akifatwa na Giday kutoka Ethiopia.
 
chepngetich2809a.jpg
Ruth Chepng'etich(katikati) amepokea medali yake leo, ya dhahabu, ambayo alijishindia kwenye mbio za Marathon kwa wanawake. Wimbo mtamu wa taifa la Kenya ulitanda huku bendera ya Kenya ikipandishwa kwa heshima. Hongera kwa Team254! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
Kenya mja fanya vizuri sana kama nilivyo tegemea
Mashindano bado hayajaisha jombaa. Hadi sasa hivi kwenye 'Medals Table' Kenya ndio ya nne duniani baada ya U.S, G.Britain na China, nadhani. Alafu vipi kuhusu Tz? Mliwapeleka wanariadha ngapi Doha, na wamejishindia medali ngapi hadi sasa hivi?
 
Mashindano bado hayajaisha jombaa. Hadi sasa hivi kwenye 'Medals Table' Kenya ndio ya nne duniani baada ya U.S, G.Britain na China, nadhani. Alafu vipi kuhusu Tz? Mliwapeleka wanariadha ngapi Doha, na wamejishinda medali ngapi hadi sasa hivi?
Hello ndio shida.
 
This sister did not come to play....the battle was clearly for second place!!!! Ona vumbi!!
 
Mashindano bado hayajaisha jombaa. Hadi sasa hivi kwenye 'Medals Table' Kenya ndio ya nne duniani baada ya U.S, G.Britain na China, nadhani. Alafu vipi kuhusu Tz? Mliwapeleka wanariadha ngapi Doha, na wamejishindia medali ngapi hadi sasa hivi?
Sio lazima wote tuwe kwenye mbio, TZ inajulikana kwenye ngumi na music
 
Mashindano bado hayajaisha jombaa. Hadi sasa hivi kwenye 'Medals Table' Kenya ndio ya nne duniani baada ya U.S, G.Britain na China, nadhani. Alafu vipi kuhusu Tz? Mliwapeleka wanariadha ngapi Doha, na wamejishindia medali ngapi hadi sasa hivi?
Hili iweje
 
Nilishangaa hata Qatar hatujapeleka kiumbe hata 1 wakati kila nchi ilipewa spot 1 ya mwanamichezo yoyote
Tanzania sijui tunafeli wapi.
Berlin BMW Marathon kati ya watu 46000 Tz hata 1 hatujapeleka
 
Back
Top Bottom