Woiyeee...By the way Tanzania iko na Athletics Federation?Nilishangaa hata Qatar hatujapeleka kiumbe hata 1 wakati kila nchi ilipewa spot 1 ya mwanamichezo yoyote
Tanzania sijui tunafeli wapi.
Berlin BMW Marathon kati ya watu 46000 Tz hata 1 hatujapeleka