IAAF yadorora huko Nairobi

Ulivyoandika kiswahili kibovu hapa haimaanishi kwamba wewe ni mtu duni, lakini Mtanzania akiandika kiingereza kibovu mnahitimisha kwamba ni mtu duni, mkisahau kwamba hata Rais wa China ni mbovu sana katika kiingereza lakini siyo mtu duni kama Njoroge
 
Nimeona wachezaji wa Uganda, SA, Morocco, Ethiopia, Zambia, Zimbabwe, Gambia etc...ila sijamwona mtz hata mmoja,...pathetic fools who cant even run...
 
Kiswahili wakenya hawakizungumzi sana...umesahau nyie mnapoandika Kiingereza cha kustaajabisha? lol! hebu niandikie sentensi moja nione...sasa usitumie lugha kujaribu kukejeli wakenya kwani pia mimi naweza nikakuaibisha hapa...angalia hapa chini mwenzenu...
Diamond Platnumz poor English shocks the nation — Blizz Uganda
 
Kwani nani kakwambia English ndio mnajua, labda English ya kikikuyu au English ya kijaluo ugliest tribal pronunciation in English lini Mzungu akaongea kama mjaluo au mkalenji hahaha
 
Kwani nani kakwambia English ndio mnajua, labda English ya kikikuyu au English ya kijaluo ugliest tribal pronunciation in English lini Mzungu akaongea kama mjaluo au mkalenji hahaha
hata mchina akizungumza Kiingereza ana lafudhi ya Kichina...the same happens to Russians, Germans and the French...sasa hio mbona jambo ndogo sana...bora tu ueleweke...
 
USA ndio nchi pekee yake duniani? wacha kulamba matako ya wazungu ww..nyie ndio wale wakimwona mzungu wanaanza kumfata fata kana kwamba ni malkia kisha wanaanza kumbusu miguu....tunafurahi kwa kuwaona Slovenians, Germans, Chinese, French etc...pamoja na waafrika wengine...130 countries in attendance, so USA haitubabaishi!!!
 
Uwanja wa kimataifa.
Tz Baiby[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hujanielewa mimi nimesema umeandika kiswahili kibovu lakini hii haimaniishi kwamba wewe ni mtu duni kama inavyodaiwa na baadhi ya mapunguani wa Kenya kwamba Mtanzania ni mtu duni kwasababu kingereza chake kibovu, Lugha siyo kipimo cha uwezo wa mtu, kwenye kishule changu cha chekechea niliajiri wakenya kadhaa kwasababu wanaweza kuongea kiingereza vizuri na walikubali mshahara mdogo, hata mimi wamenizidi kuongea kiingereza lakini ndiyo walikua wananitegemea niwape mshahara ili waweze kuendesha familia zao
 
Nimeona wachezaji wa Uganda, SA, Morocco, Ethiopia, Zambia, Zimbabwe, Gambia etc...ila sijamwona mtz hata mmoja,...pathetic fools who cant even run...
Nope idara ya usalama wa taifa imewapiga marufuku the terrorism hotbed sio salama kwa raia wetu ukizingatia saivi njaa huko ni kali wananchi mnakula mahindi ya mifugo ya msaada from Mexico, we skip.
 
kwa hili, nakubaliana na wewe asilimia 100....lugha bora tu ueleweke...
 
But u have time to attend Diamond n Ali Kiba concerts! I swear Diamond's concerts in Nairobi pull a larger crowd than that..

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona wachezaji wa Uganda, SA, Morocco, Ethiopia, Zambia, Zimbabwe, Gambia etc...ila sijamwona mtz hata mmoja,...pathetic fools who cant even run...
Unataka tukimbie nini ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatujui kukimbia kimbia

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…