IAAF yadorora huko Nairobi

Nope idara ya usalama wa taifa imewapiga marufuku the terrorism hotbed sio salama kwa raia wetu ukizingatia saivi njaa huko ni kali wananchi mnakula mahindi ya mifugo ya msaada from Mexico, we skip.
hehe!!! hata mngewaleta wangelambishwa sakafu na wakenya kwa uwanja...yaani hata hamwezi 100 metres? mna mambo nyie waswahili....nimeona mganda na mhabeshi wamepata nishati lakini kuja tu kwa mtz....duh! hata nishati ya mbao hamna...lol!
 
Unataka tukimbie nini ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatujui kukimbia kimbia

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
nakuelewa...waswahili sijui ni nini...nilidhani mnawamaasai kule...hao pia hawawezi mbio?
 
Hivo hapo Kenya mnakazi gani yakufanya zaidi yakukaa mwenye benchi ya city park nakutafuna miraa ya meru.??
 
Mbona sioni watu wakiwa wamekaa mwenye majukwaa. Yani had I wazungu wamepageuza kama wapi beach. They are sun bathing
this is what we are enjoying ...women in tight panties...wakati nyie jamaa sijui ni shoga anataka kumbaka Rooney katikati ya uwanja...aibu iliyoje!
 
Wewe mshamba kweli yani Alshaabab wapoteze Bomu lao kuilipua Gor kweli?? Unafikili wanamabomu yakuchezea!!. Wao target yao ingekuwa Everton
 
Ghafla ridhaa haipendwi Kenya [emoji28] very interesting though Wazungu husema an hungry stomach has no time to celebrate!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
kweli hapo....Diamond na Kiba wana fans wengi sana humu nchini...sikatai...
Kwahiyo tatizo ni fanbase na sio Wakenya kuwa busy! [emoji23] mimi naongezea na umaskini pia, as majority of u can't afford ticket price!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Tunatumia asilimia moja tu lakin mnalia lia hiv je sasa tukitumia asilimia tatu tu itakuaje??

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Duniani mwanadamu hutumia asilimia 8% ....lakini mtu anatumia 1% hutoa vijisababu kama hii yako

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Hehehe WATZ si Tafadhali mjifunze kizungu ama muache Kuitumia

Hii ni JF Wachawi mnaweza
 
But u have time to attend Diamond n Ali Kiba concerts! I swear Diamond's concerts in Nairobi pull a larger crowd than that..

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Yes Cause as you all know Athletics is not really an all Kenyan affair but music is we Brought up Both Ali Kiba and Diamond and Vanesa Mdee all have catapulted to success in Kenya

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Duniani mwanadamu hutumia asilimia 8% ....lakini mtu anatumia 1% hutoa vijisababu kama hii yako

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Usipanic lakin tafiti zenu zinasema nyie mnatumia % ngapi?? Ya akili zenu??

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Nope idara ya usalama wa taifa imewapiga marufuku the terrorism hotbed sio salama kwa raia wetu ukizingatia saivi njaa huko ni kali wananchi mnakula mahindi ya mifugo ya msaada from Mexico, we skip.
Sawa baba Si Juzi ndio mlichinjana mwanza Kwa masjid bila sababu

Si Juzi ndio Kundi la ki Gaidi kilifagia Police station kuu Dar na Kuiba silaha

If a whole Police station In Dar is brought to the ground what will happen if alshabaab marks you as a target???

Mnafikiria kupasua matofali na vishasha itafanya alqaeda waingie vichakani kwa kitosho??

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
this is what we are enjoying ...women in tight panties...wakati nyie jamaa sijui ni shoga anataka kumbaka Rooney katikati ya uwanja...aibu iliyoje!
Nonsense

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…