IAAF yadorora huko Nairobi

IAAF yadorora huko Nairobi

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Wakati Wakenya wakipasuka kwa kijiba na wivu wa safari ya Everton Dar es salaam, mahudhurio huko Nairobi ni hafifu pamoja ya kwamba ni shughuli za mashindano ya ridhaa ni za kidunia.

FB_IMG_1500018465591.jpg
FB_IMG_1500018412613.jpg

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app

here!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Kama siku ya uzinduzi ndo ilikuwa hivi, leo ndo shida zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
unlike idle tanzanians, Kenyans have things to do bana.....besides, such games dont have high attendance, just check the previous games that took place in Poland and The Bahamas...even in London...just a few ppl in the field...we dont get overexcited because of youth games...mtu anawacha kazi yake kuenda kasarani..hehe...plus the thing is being viewed in SuperSport...kumalizia, hatuskii wivu...hatuwezi tukaskilia wivu nchi iliyo nyuma yetu...nchi LDC...tunafurahi sana kampuni yetu ya kikenya imeweza kuleta Rooney EA...fikiria kama sio sportpesa, which tz company has that muscle power..LOL!!!!
Rooney hata Bombadier hawez akapanda!!!
 
unlike idle tanzanians, Kenyans have things to do bana.....besides, such games dont have high attendance, just check the previous games that took place in Poland and The Bahamas...even in London...just a few ppl in the field...we dont get overexcited with youth games...mtu anawacha kazi yake kuenda kasarani..hehe...plus the thing is being viewed in SuperSport...
Shida ni hii hapa

tapatalk_1499974494451.jpeg

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
unlike idle tanzanians, Kenyans have things to do bana.....besides, such games dont have high attendance, just check the previous games that took place in Poland and The Bahamas...even in London...just a few ppl in the field...we dont get overexcited because of youth games...mtu anawacha kazi yake kuenda kasarani..hehe...plus the thing is being viewed in SuperSport...kumalizia, hatuskii wivu...hatuwezi tukaskilia wivu nchi iliyo nyuma yetu...nchi LDC...tunafurahi sana kampuni yetu ya kikenya imeweza kuleta Rooney EA...fikiria kama sio sportpesa, which tz company has that muscle power..LOL!!!!
You have things to do wakati unemployment rate iko juu Kenya kuliko tz!

Nenda darasani!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Shida ni hii hapa

View attachment 541913

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
ingekua ni mechi ya Barcelona kule Kasarani, ama Gor vs AFC...ungepata field imejaa...ama ingekua ni rally ya Uhuru Kenyatta ama Raila Odinga, hakungekua na nafasi...sasa nikuulize, wakati Gor wanapocheza, watu huwa hawaogopi Alshabaab? Lol! poor reasoning from a LDC citizen...
 
You have things to do wakati unemployment rate iko juu Kenya kuliko tz!

Nenda darasani!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
unemployment rate inamaanisha watu hawawezi kufungua biashara zao ndogo ndogo hata za kuuza mboga? tumia akili bana...unemployment rate inamaanisha vijana hawawezi wakakuja pamoja kucheza michezo tofauti tifauti? yes unemployment is high but ppl still have many things to do...esp in small scale businesses...
 
ingekua ni mechi ya Barcelona kule Kasarani, ama Gor vs AFC...ungepata field imejaa...ama ingekua ni rally ya Uhuru Kenyatta ama Raila Odinga, hakungekua na nafasi...sasa nikuulize, wakati Gor wanapocheza, watu huwa hawaogopi Alshabaab? Lol! poor reasoning from a LDC citizen...
Tulia sindano ikuingie, watu wanaogopa maana hadi PS anatekwa sembuse wao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Tulia sindano ikuingie, watu wanaogopa maana hadi PS anatekwa sembuse wao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
kelele za chura zile...ng'ombe atakunywa maji tu
 
unemployment rate inamaanisha watu hawawezi kufungua biashara zao ndogo ndogo hata za kuuza mboga? tumia akili bana...unemployment rate inamaanisha vijana hawawezi wakakuja pamoja kucheza michezo tofauti tifauti? yes unemployment is high but ppl still have many things to do...esp in small scale businesses...

At least you have come to your senses! therefore stop saying that Tanzanians are iddle!

we are as busy as u ar

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
kelele za chura zile...ng'ombe atakunywa maji tu
Maji gani wakati watu wanasubiri gate collection na hawaioni![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
unlike idle tanzanians, Kenyans have things to do bana.....besides, such games dont have high attendance, just check the previous games that took place in Poland and The Bahamas...even in London...just a few ppl in the field...we dont get overexcited because of youth games...mtu anawacha kazi yake kuenda kasarani..hehe...plus the thing is being viewed in SuperSport...kumalizia, hatuskii wivu...hatuwezi tukaskilia wivu nchi iliyo nyuma yetu...nchi LDC...tunafurahi sana kampuni yetu ya kikenya imeweza kuleta Rooney EA...fikiria kama sio sportpesa, which tz company has that muscle power..LOL!!!!
Rooney hata Bombadier hawez akapanda!!!
Tulia dawa ikuingiee..hiyo kampuni ya kikenya imemleta Rooney East Africa sawaa..lakin kwanini isimlete Kenya na ikawa Tanzania?

Babako akipeleka mgeni wake kwa jirani eti kisa hana nyumba nzuri ni aibu kwako pia.
 
this is what we are enjoying ...women in tight panties...wakati nyie jamaa sijui ni shoga anataka kumbaka Rooney katikati ya uwanja...aibu iliyoje!
images
 
Naangalia hapa dstv uwanjani kumejaa crews tu

Back
Top Bottom