IACHENI YANGA KAMA ILIVYO.

IACHENI YANGA KAMA ILIVYO.

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Wakati mwingine uswahili unatuharibu hata katika masuala ya kawaida sana.Suala la rangi mfano lipo wazi kabisa kila timu ina rangi zake ambazo ni sawa na utamaduni wake.Yanga ina rangi ya kijani na Njano,simba ina Nyekundu na nyeupe.Azam wana nyeupe na darkblue.Man united wana rangi nyekundu,chelsea ni blue,n.k.Huu ndio utamaduni.FIFA kwa kutambua hilo wakaweka sheria ya mdhamini yeyote iwe ligi au clabu ni lazima aheshimu utamaduni wa timu.Kama timu itakataa kubadili utamaduni wake basi timu husika na mdhamini watakaa na kujadiliana ili kujua ili namna ya kusuluhisha.

Si kweli kwamba vodacom au makampuni hawawezi kubadili nembo zao.wao wanaweza lakin huwezi kulazimisha kuwa kama voda wanabadili rangi basi na Yanga ibadili,au simba haiheshimu rangi basi na Yanga hivyo hivyo.Yani wanachotaka ni kitu ambacho Simba imefanya na Yanga afanye hivyohivyo,kama simba kafanya kwa nini Yangaa hajafanya.Hiyo haiwezekani.Tumeona simba iking'oa viti taifa lakin Yanga haikuwahi kung'oa.Simba waliwarushia chumba viongozi huko mwanza mechi na Mbao lakini Yanga hawakuiga.Kwa hiyo sio kila kitu cha kuiga.mfano mtu anatolea mfano wa simba kuvaa nembo za CAF ambazo ni kijani na njano,ndipo tunaposema sio kila kitu walichofanya Yanga, na simba waige au simba, yanga aige.

Kuna baadhi ya waandishi wa michezo wakubwa tu wanaiponda Yanga kuwa haiendelei kwa kushikilia mambo ya kizamani.Lakin hilo si kweli,Yanga inafuata tu taratibu iliyojiwekea tokea enzi.Kama kuna mabadiliko yatafanywa kwenye katiba basi itakuwa hivyo.Mwaka wa kwanza voda kudhamini wakakaa na Yanga wakayamaliza.Msomali anakuja na biti kuwa yeyote atakayemzingua mdhamini atashushwa daraja.Huo ni umbumbumbu ambao ni mara nyingi upo kwa timu fulanii ya mtaa wa Msz...

Cha kufanya ni kuwa TFF wasiwalazimishe Yanga bali Yanga wakubaliane na Voda namna ya kufanya.Makampuni mengi tu kama vile Pepsi,cocacola n.k hubadili rangi ya logo pale inapobidi.

TFF iache ubabe,iweke uhuru.Halafu hao waandishi makanjanja wanaolalamikia Yanga waache tu watoe maoni yao ila wajue wako wrong.Yana itabaki kuwa na njano na kijani bila madoa mekundu.simba hata wakiamua wabadilia rangi iwe ya njano kama Yanga sawa tu.haina shida.Simba ni Simba na Yanga ni Yanga.Muda si mrefu wataitaka Yanga iajiri katibu mkuu kutoka nje.maana simba wamefanya hivyo.Wao ndo walikuwa wa kwanza kuponda kambi ya Yanga na kuisifu ile ya simba wakati simba alienda sawa tu na zanzibar maana alichokipata kila mtu anajua.
Saiz TFF watafanya kila wawezalo simba irudi tena na ubingwa ishiriki CAF halafu tena hatua ya mwanzo kabisa watatolewa.... aaaagh![emoji2][emoji2][emoji2].
NB:kwangu hata Yanga wakikubali kubadili Rangi ya logo haina shida.Ila nachopinga ni ubabe wa Karia,TFF dhidi ya Yanga.Hilo haliwezekani maan Yanga ndio nchi yenyewe.Unazungumzia mimea na utajiri wa Tanzania, na simba ikiwepo.simba ni mali ya Yanga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji41]
 
Hujielewi
 
Katiba ya Yanga rangi ambazo ni mwiko ni pamoja ma ntekundu
Na imeaajiliwa bmtl na tff nadhan utimamu huna kwa mtu kuheahimu mawazo yakewenyewe kwanza
 
Unayejielewa lete ufafanuzi wako.Ninyi simba hata Mo kesho akisem naichukia rangi nyekundu nataka timu iwe na jezi ya blue na Brown tu.Mtakubali maaana ninyi ni mbumbu.....

Ongeza Na Damu Iliyo Mwilini
 
Unayejielewa lete ufafanuzi wako.Ninyi simba hata Mo kesho akisem naichukia rangi nyekundu nataka timu iwe na jezi ya blue na Brown tu.Mtakubali maaana ninyi ni mbumbu.....

Wapi coca na pepsi wamebadilisha rangi zao?
 
Yaa ni kweli.wanaipendelea sana simba ndio maana ikaitoa na UDsongo na sasa itapambana na timu fulani hivi kutoka nchi fulani hivi champions ligi ya azam lakin[emoji2][emoji2]
TFF wanaionea Sana Yanga afrika wamesababisha itoke droo na Pamba leo.
 
Back
Top Bottom